Matumizi mabaya ya mali za umma Tandahimba

Matumizi mabaya ya mali za umma Tandahimba

Vunjavunja

Member
Joined
May 18, 2012
Posts
92
Reaction score
11
Katika hali ya kuskitisha nimeshudia kwa macho yangu gari la serikali la halmashauri ya Tandahimba- Mtwara likiwa limewabeba wanachama wa CCM. Ikiwa leo ni uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata ya Mkuti, gari la serikali aina ya landcrusal limewabeba wanachama wa ccm na kupepelusha bendera ya ccm katika gari hilo. Huu ni ubadhilifu mkubwa wa matumizi wa mali za umma kutumika katika kampeni za ccm. Mali za umma si mali za ccm bali ni mali za watanzania wote.
 
Back
Top Bottom