Matumizi Bora ya Simu kwa wenye Michepuko

jrmlaurence

Member
Joined
Dec 2, 2010
Posts
80
Reaction score
57
Jamaa zangu wengi sana wanapata taabu sana kwa sababu ya simu. Kidude hiki ambacho kinatakiwa kitupunguzie shida katika maisha chenyewe ndio kimekuwa shida kubwa. Mtu unakuwa huna raha kabisa shauri ya kidude hiki why? Jamani Why? Kuna hii ishu ya kuwa na mchepuko, kimsingi hili jambo gumu kumalizika , kwa hiyo sihangaiki kuwambia watu waache, huko ni sawa na kukataza jua lisizame, na pia hayanihusu.

Mtu anakuwa na mchepuko wake, na sijui kwa nini michepuko ina tabia ya kuwa haina taimingi, pale mazahaus ndo uko nae, mchepuko ndo unapiga simu.
Ili kukwepa maswali watu wanaweka simu kwenye silent, wengine vibration, chondechonde usiweke kwenye vibration, mazahaus wote wana machale kishenzi, lazima utasikia ‘nani huyo? mbona hupokei?’
Maswali ya hatari sana usikubali yakutokee, hivyo daima weka simu kwenye silent. Japo tatizo la michepuko mingine usipopokea ndio haachi kupiga.

Ukiwa na mchepuko we sevu jina lake mjomba, au shangazi au ba mdogo, usiandike fundi majeneza au fundi pikipiki, imeshapitwa na wakati hiyo, utastukiwa. Ni vizuri kufanya mazoezi ya kuekti kwenye kioo ili wakati unasema uongo uso uwe umetulia kabisa wakati unajibu uongo, maana unaweza kulazimika kupokea simu ya mchepuko, mazahaus yuko mbele yako, ikalazimika uanzishe kujibu simu za kujidai unaongea biashara ya kuondoa kontena lililokwama, hapo lazima uekti vizuri kuliko msanii wa Bongomuvi.
Ili kupunguza mitihani hii, jamaa yangu mmoja wa Tabata amempangia mchepuko muda wa kupiga simu hii imemuondolea adha ya kulazimika kupokelea simu chooni na bafuni.
Kwa hiyo tafadhali wandugu tena chonde sana yale mnayochati futeni, hata kama lilikuwa neno tamu kama I love you my Chocolate futa usitake sifa, au litakukosti ohoo.

Amri kuu ya simu ukiwa na mchepuko ni kuwa unatakiwa kuibeba popote utakapokuwa, bafuni chooni, msibani harusini, usingizini, ukimuachia nafasi mazahaus aibebe umekwisha. Pia kama una mchepuko, ni muhimu sana umpe semina na warsha na kongamano mchepuko wako kuhusu nini cha kusema ikiwa kwa bahati mbaya simu ikiangukia mikononi mwa mazahaus. Asianze samahani nimekosea namba, hiyo imepitwa na wakati.
Yeye cha kufanya ni kuongea kwa konfidence kabisa na kuulizia kwanini hujakamilisha ripoti ya kazi, au kama we ni fundi gereji aulize gari lake mbona breki na taa hazifanyi kazi, au kama wewe ni dokta aombe ushauri kuhusu dawa ya pumu kwa ajili ya bibi yake aliyeko kijijini. Kikubwa asipaniki.
Habari ndio hiyo kazi kwako.
 
yaaani bado mnafagilia upuuzi wa kua na michepuko na kupeana mbinu mbadala???????????? hiivi ni hizi akili??? achene kuendekeza ujinga sasa kama unaona mchepuko dili wewe umeoa / kuolewa kwa nini????
 
Hapa unajenga au unalenga kubomoa? we kama unachepuka chepuka mwenyewe usihamasishe wenzako maana kwa kuwapa mbinu kama hizi kwa namna moja ama nyingne unaendeleza roho za kuchepuka
 
yaaani bado mnafagilia upuuzi wa kua na michepuko na kupeana mbinu mbadala???????????? hiivi ni hizi akili??? achene kuendekeza ujinga sasa kama unaona mchepuko dili wewe umeoa / kuolewa kwa nini????
Inaonekana sifa siku hizi.
watu wanaoa na kuolewa kama fashion tu..!
Nadhani ni ujinga, ulimbukeni na upumbavu to say the least..!
 
bonge la ushauri mkuu yaani kwa hizi mbinu hachomoki mtu niamini mimi
 
Inaonekana sifa siku hizi.
watu wanaoa na kuolewa kama fashion tu..!
Nadhani ni ujinga, ulimbukeni na upumbavu to say the least..!

tena ulimbukeni uliokubuhu haswaaaaaaa
 
Salaleeeee.....Tushaelewa hizooo....namulika mwizi

Jamaa zangu wengi sana wanapata taabu sana kwa sababu ya simu. Kidude hiki ambacho kinatakiwa kitupunguzie shida katika maisha chenyewe ndio kimekuwa shida kubwa. Mtu unakuwa huna raha kabisa shauri ya kidude hiki why? Jamani Why? Kuna hii ishu ya kuwa na mchepuko, kimsingi hili jambo gumu kumalizika , kwa hiyo sihangaiki kuwambia watu waache, huko ni sawa na kukataza jua lisizame, na pia hayanihusu.

Mtu anakuwa na mchepuko wake, na sijui kwa nini michepuko ina tabia ya kuwa haina taimingi, pale mazahaus ndo uko nae, mchepuko ndo unapiga simu.
Ili kukwepa maswali watu wanaweka simu kwenye silent, wengine vibration, chondechonde usiweke kwenye vibration, mazahaus wote wana machale kishenzi, lazima utasikia ‘nani huyo? mbona hupokei?'
Maswali ya hatari sana usikubali yakutokee, hivyo daima weka simu kwenye silent. Japo tatizo la michepuko mingine usipopokea ndio haachi kupiga.

Ukiwa na mchepuko we sevu jina lake mjomba, au shangazi au ba mdogo, usiandike fundi majeneza au fundi pikipiki, imeshapitwa na wakati hiyo, utastukiwa. Ni vizuri kufanya mazoezi ya kuekti kwenye kioo ili wakati unasema uongo uso uwe umetulia kabisa wakati unajibu uongo, maana unaweza kulazimika kupokea simu ya mchepuko, mazahaus yuko mbele yako, ikalazimika uanzishe kujibu simu za kujidai unaongea biashara ya kuondoa kontena lililokwama, hapo lazima uekti vizuri kuliko msanii wa Bongomuvi.
Ili kupunguza mitihani hii, jamaa yangu mmoja wa Tabata amempangia mchepuko muda wa kupiga simu hii imemuondolea adha ya kulazimika kupokelea simu chooni na bafuni.
Kwa hiyo tafadhali wandugu tena chonde sana yale mnayochati futeni, hata kama lilikuwa neno tamu kama I love you my Chocolate futa usitake sifa, au litakukosti ohoo.

Amri kuu ya simu ukiwa na mchepuko ni kuwa unatakiwa kuibeba popote utakapokuwa, bafuni chooni, msibani harusini, usingizini, ukimuachia nafasi mazahaus aibebe umekwisha. Pia kama una mchepuko, ni muhimu sana umpe semina na warsha na kongamano mchepuko wako kuhusu nini cha kusema ikiwa kwa bahati mbaya simu ikiangukia mikononi mwa mazahaus. Asianze samahani nimekosea namba, hiyo imepitwa na wakati.
Yeye cha kufanya ni kuongea kwa konfidence kabisa na kuulizia kwanini hujakamilisha ripoti ya kazi, au kama we ni fundi gereji aulize gari lake mbona breki na taa hazifanyi kazi, au kama wewe ni dokta aombe ushauri kuhusu dawa ya pumu kwa ajili ya bibi yake aliyeko kijijini. Kikubwa asipaniki.
Habari ndio hiyo kazi kwako.
 
Ila jamani, kumbuka kuwa tunalia kuhusu UKIMWI kumbe tunaupalilia wenyewe na kuuwekea mbolea...
Wewe upo na mchepuko, Kumbuka huo mchepuko unajua kabisa wewe si wake so wakati wowote unaweza kumbwaga, hivyo ni lazima awe anawake pembeni, wewe utakuwa tuu kwaajili ya kumtimizia haja zake za hapa na pale anazokosa kwa kwa huyo wake.

Usifikiri mchepuko anaenjoy saana wewe unaaga unaenda kwa mkeo, yeye anabaki mwenyewe usiku kakumbatia mto, hata kama ni mtoto wa mama yupo nyumbani kwao pia anandoto za kujakuwa mke siku moja....Na kama mchepuko anajitegemea ndio mbaya kabisa kwani hawezi miezi na miezi yeye kukumbatia tuu mto usiku wakati wewe unaenda kwa mkeo lazima atafute wa kumkumbatia usiku na anandoto na yeye aje kuwa mke, apate mume kama wewe ulivyo mume wa mtu.

Kuweni makini jamani katika hili suala sio mkenue tuu kuchekelea upumbavu usio na maana...maana watanzania tulie wengi tunachekelea ujinga na kuponda yamaana.

Naamini kabisa mtu akisema kwa mchepuko anatumia kinga ni uongo...Kinga atatumia wiki moja au mbili au mwezi baada ya hapo kinga itawekwa pembeni....Then siku ya siku wewe unapoumwa mkeo ndio atateseka kwa kukuuguza na watoto watateseka na kusononeka.

Halafu, wewe unahonga mihela kem kem kwa mchepuko, sawa anakupa utamu lakini siku ya siku hela hizo kama ni kitu anafanyia mwenyekuja faidi ni mwanaume mwenzio baadae mkibwagana...Pengine anapotaka hela au anapokuwa anamuadithia shogaye hukuita jina ambalo wewe ungelisikia ungekasirika mfano: Buzy, Muwezeshaji nk.

Kingine siku ukishindwa kumpa hela, au umefulia usifikirie atakutaka tena, lazima atatafuta mwezeshaji mwingineeee, ila mkeo ni mkeo hatokukimbia, atahangaikia wewe na watoto ili muweze kuishi.

Je wewe mume unahakikisha kwanza familia yako, mke, watoto, mama yako mzazi wanaishi vizuri ndio uhonge mchepuko? Kumbuka pia kutesa familia ni laana kutoka kwa Mwenyezi kwasababu familia unaulazima wa kuzitunza.

Hayaaaaaa

Jamaa zangu wengi sana wanapata taabu sana kwa sababu ya simu. Kidude hiki ambacho kinatakiwa kitupunguzie shida katika maisha chenyewe ndio kimekuwa shida kubwa. Mtu unakuwa huna raha kabisa shauri ya kidude hiki why? Jamani Why? Kuna hii ishu ya kuwa na mchepuko, kimsingi hili jambo gumu kumalizika , kwa hiyo sihangaiki kuwambia watu waache, huko ni sawa na kukataza jua lisizame, na pia hayanihusu.

Mtu anakuwa na mchepuko wake, na sijui kwa nini michepuko ina tabia ya kuwa haina taimingi, pale mazahaus ndo uko nae, mchepuko ndo unapiga simu.
Ili kukwepa maswali watu wanaweka simu kwenye silent, wengine vibration, chondechonde usiweke kwenye vibration, mazahaus wote wana machale kishenzi, lazima utasikia ‘nani huyo? mbona hupokei?’
Maswali ya hatari sana usikubali yakutokee, hivyo daima weka simu kwenye silent. Japo tatizo la michepuko mingine usipopokea ndio haachi kupiga.

Ukiwa na mchepuko we sevu jina lake mjomba, au shangazi au ba mdogo, usiandike fundi majeneza au fundi pikipiki, imeshapitwa na wakati hiyo, utastukiwa. Ni vizuri kufanya mazoezi ya kuekti kwenye kioo ili wakati unasema uongo uso uwe umetulia kabisa wakati unajibu uongo, maana unaweza kulazimika kupokea simu ya mchepuko, mazahaus yuko mbele yako, ikalazimika uanzishe kujibu simu za kujidai unaongea biashara ya kuondoa kontena lililokwama, hapo lazima uekti vizuri kuliko msanii wa Bongomuvi.
Ili kupunguza mitihani hii, jamaa yangu mmoja wa Tabata amempangia mchepuko muda wa kupiga simu hii imemuondolea adha ya kulazimika kupokelea simu chooni na bafuni.
Kwa hiyo tafadhali wandugu tena chonde sana yale mnayochati futeni, hata kama lilikuwa neno tamu kama I love you my Chocolate futa usitake sifa, au litakukosti ohoo.

Amri kuu ya simu ukiwa na mchepuko ni kuwa unatakiwa kuibeba popote utakapokuwa, bafuni chooni, msibani harusini, usingizini, ukimuachia nafasi mazahaus aibebe umekwisha. Pia kama una mchepuko, ni muhimu sana umpe semina na warsha na kongamano mchepuko wako kuhusu nini cha kusema ikiwa kwa bahati mbaya simu ikiangukia mikononi mwa mazahaus. Asianze samahani nimekosea namba, hiyo imepitwa na wakati.
Yeye cha kufanya ni kuongea kwa konfidence kabisa na kuulizia kwanini hujakamilisha ripoti ya kazi, au kama we ni fundi gereji aulize gari lake mbona breki na taa hazifanyi kazi, au kama wewe ni dokta aombe ushauri kuhusu dawa ya pumu kwa ajili ya bibi yake aliyeko kijijini. Kikubwa asipaniki.
Habari ndio hiyo kazi kwako.
 
Heeeeeeeee ukisikia masai kaingia disco na mkuki ndo wewe,tumia akili kijana michepuko itakupeleka wapi? kaa sio kujitia umasikini, au mkojo ndo unao kusumbua tu, acha kuendekeza nyege mchepuko wewe
 
Hahahaaaaa nimechekaaa eti huo mchepuko umpe semina warsha na kongamano. Back to the point...... Hivi kwa nini watu huwa wanajisahau michepukoni kiasi hiki??? Kwa nini uruhusu mchepuko ukupigie simu ovyo ovyo?? Mnatakiwa mpigiane simu kunapokuwa na ulazima wa kufanya hivyo..... Na wewe mtu umeshajijua we ni mchepuko simu za mara kwa mara na meseji za kipuuzi kila wakati za nini??? Kuweni na kaustaarabu japo kidogo... Mungu hamna bas huyo shetani wenu hata hekima hana??
 
yaaani bado mnafagilia upuuzi wa kua na michepuko na kupeana mbinu mbadala???????????? hiivi ni hizi akili??? achene kuendekeza ujinga sasa kama unaona mchepuko dili wewe umeoa / kuolewa kwa nini????

Mchepuko unaimarisha nyumba kubwa
 
Back
Top Bottom