Matumizi Affidavit na deedpoll

Mkuu wewe hukulioma Tangazo la Serikali lililotoa nafasi kwa wahitimu kurekebisha majina ya vyeti vya shule viandane na majina ya NIDA?
 
Mkuu wewe hukulioma Tangazo la Serikali lililotoa nafasi kwa wahitimu kurekebisha majina ya vyeti vya shule viandane na majina ya NIDA?
Mtapigwa na wahuni mchana kweupe. Serikali haijawahi kutoa tangazo kama hilo. Hao ni wahuni wa kitaa ndo wanatoa hizo pdf fake
 
Nafikiri affidavit ile ile ya mwanzo inaweza kutumika provided kwamba ameitwa kupitia Majina na nyaraka alizowasilisha kabla
Niliwahi kuajiriwa Serikalini na kupata hard check # na kila kitu with only affidavit
 
Niliwahi kuajiriwa Serikalini na kupata hard check # na kila kitu with only affidavit
Affidavit ni kielelezo halali ku-certify nyaraka nyingi muhimu hata Kwa mtu anayetaka kuasili mtoto/watoto
 
Mkuu mimi kwenye vyeti vyangu vya kidato cha nne na cha sita, majina ni mawili na initial katikati Yani (Juma A juma) ila cheti cha kuzaliwa na nida kimeandikwa (Juma Ali juma) je kwa case hii nahitaji kuwa na affidavit kuthibitisha umiliki wangu??
 
Kwa case yako ukichukua Affidavit ni sawa na pia Deedpol ni sawa.

Mfano unaweza kuambatanisha Affidavit na maombi ya kazi kwenye taasisi X na ukitaka kutuma maombi ya kazi kwenye kampuni Y unapaswa tena kuambatanisha Affidavit nyingine.

Ila ukiwa na Deedpol utaitumia hiyo hiyo kwenye mambo yote pasipo kuhitaji kiapo cha mara kwa mara.
 
Vp mkuu ulikubaliwa na affidavit au ulisajili deedpoll?
 
Okay,,ulifanikiwa kubadilisha Nida??
Sijabadilisha chochote nilichoamua nikukubali kutumia majina yaliyopo kwenye nida cheti cha kuzaliwa maana yako sawa na kukana majina ya kwenye vyeti vya taaluma kwaiyo taarifa zangu zozote natakiwa kutumia majina niliyoyakubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…