Mkuu sikulitambua hilo una macho sana duh bongo imeharibika kabisa
Mbona kwa mswathi wanakaa tu uchii sembuse chupi tu hiyo?prob with you guys mkiona chupi mnawaza kwingine ndo maana mnapata shida loh..kaza moyo
hili bwabwa eeeh!
Nakuunga mkono saana BT....tufanye nini sasa ndio tumeathirika kiivyoWatanzania tuna mengi ya kujadili na kutafuta ufumbuzi wake, kutumia bytes nyingi kujadili mapicha haya ni kuwa nyuma ya wakati. hatuwezi kufika katika mtindo huu.
Ina maana huyu hapa na mtaani kweni ni wapi mkuu??