Matukio ya Jana katika Picha

Bado watu wajinga wanakanusha eti CCM haihusiki wakati hadi sare (MAGAMBA) yenu yanaonekana
 
Makonda alikodi vijana 23, kikao kilifanyika Serena hotel, na walilipwa tsh elfu 50,000 kwa kila Moja. Bubenea.
 
kwa kizazi hiki hakuna anayemuelewa,na tusitake kumtumia kiasi cha kuja kupigwa mitama majukwaani.
 
wazaz wako wangepumzka kukulea ungeish maisha gn jombaaa.. Ktk maisha hkuna kitu kinaitwa kupumzka.
Wazazi wangu walipumzika siasa siku nyiingi sana.
wanasiasa wanaotakiwa kuchapwa ni kama Kina lowassa,Chenge,Makamba,kingunge.wanamwonea tu huyu mzee mzalendo.
 

Kwahiyo warioba ni Baba mdogo wa taifa?
 
Kuna 'jamaa' amenukuliwa akisema bila aibu kabisa kuwa......

"... Naomba yasinikute yaliyomkuta Warioba..."
 
Leo vijana wanapewa elfu kumi wampige jaji warioba na kumdhalilisha.kesho wakipewa milioni kumi watafanya nini?
 
warioba hii serikali ya ccm ni mafia,tulia tu nyumbani upumzike na wajukuu zako,ukujifanya mzalendo utakufa siku si zako
 
Mbinu chafu hata kwenye katiba? kweli CCM wamefika ukomo wa kufikiri. Uzalendo kwa vijana wa uvccm hakuna kabisa.
 
Nasikitika na kuhuzunika yaani anatoa nasaha tu hali ndo hii ya doli machoni jee siku ikifika ya kutoa maaoni itakuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…