Huyu mzee nae ajipumzikie tu,sijui anahangaika na nini sa hivi kuhangaika majukwaani wakati watu wamepagawa.serikali inafanya kazi na wahuni anategemea nini
Huyu mzee nae ajipumzikie tu,sijui anahangaika na nini sa hivi kuhangaika majukwaani wakati watu wamepagawa.serikali inafanya kazi na wahuni anategemea nini
Mkuu unafikir Nyerere angekuwepo leo asingeongea juu ya miiko ya uongozi? Asingesemea taifa alilokalijenga na leo jins linavyopotea?
Mbona hujauliza kingunge alienda kufanya nn bungen?
katiba inajenga kizazi cha sasa na kijacho hivo ni wajibu wake kuwatengenezea njia wajukuu na vilembwe vyake, na wananchi wengine kama ww na wanak ili wasinyanyasike katika taifa lao !!
Huyu mzee nae ajipumzikie tu,sijui anahangaika na nini sa hivi kuhangaika majukwaani wakati watu wamepagawa.serikali inafanya kazi na wahuni anategemea nini
Niulize na wale wana jf walienda wapi vile kukutana juzi ni Serena hotel au? na kama walienda ndio hawa waliobeba mabango au? nao pia walipokea 50000? mwenye majibu anisaidie
Wote hao walioshika mabango wana maisha magumu, pili hawajui ugumu wa maisha yao umesababishwa na CCM, ukiwa kijana na ukajiunga na CCM huwezi kujenga hoja mbele ya watu bila kuvuta ugoro au bangi,au unga coz chama ni kichafu lakini wanalazimisha kukisafisha