Haki yanani leo nimeamini kweli haina watu,bali misukule!kumbe hata huyo anaejiita msaallan nae anawazaga kwa kutumia tumbo???!''!ccm mnarahana na mwaka huu mnalo.
Mtoa mada naona sio mtanzania,maana aliyo bwabwaja hapo kasimulia na alikuwa kijiwe cha wanywa gongo! Anashindwa kuona umasikini wa kutupwa kwa watanzania na mporomoko wa elimu bila kusahau dolla na tsh! Huyu mtu kweli chooo sana! Anaona kwake hayo ni shangwe??! Na....tena wewe ni kuku wa pasaka subiri uliwe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.