Matukio ya aibu ya CHADEMA 2010 mpaka 2015

singidadodoma

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
4,394
Reaction score
1,538
Wadau nimeona leo tujikumbushje matukio ya aibu ya CHADEMA ambayo chama hicho kiliyafanya baina ya mwaka 2010 mpaka mwaka huu tulionao. Baadhi ya matukio hayo ni kama ifuatavyo;

(1) CHADEMA ilisusia hotuba ya Rais Dr. Jakaya Kikwete wakati akitoa hotuba ya kufungua Bunge November 18, 2010 kwa kutoka nje ya bunge kwa madai ya kutomtambua rais, hili tukio lilikuwa la aibu kwa CHADEMA na kujidhalilisha na liliwaonyesha wananachi wa majimbo waliowachagua aina ya wabunge waliowachagua.

Tukio hilolilijidhihirisha kuwa wabunge hao ni magwiji wa uvunjifu wa sheria kwa kushindwa kuiheshimu katiba ya nchi walioahidi kuilinda wakati wakila kiapo rasmi cha kuwa wabunge . Licha ya kwamba baadaye walikuja kumuangukia Dr. Kikwete na kumtambua kuwa ni Rais halali wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.

(2) Tukio lingine la aibu ni la mbunge wa chama hicho, Joseph Mbilinyi (Sugu) amabaye alitolewa nje kwa nguvu kwa kuburuzwa na askari wa Bunge baada kuanza kupiga askari hao wa bunge baada ya kukaidi amri ya Naibu Spika Ndugai kumtaka kutoka nje.

Tunaweza kuendeleza uzi huu kwa kuandika matukio tata ya chama hicho.

  • Thanks
Reactions: Gor
una vipele sehemu ya haja kubwa wewe!

Una mawazo mgando kama akili lakini uwezo wako wa kufikiri ndo umeishia hapo mbona hujawaandika Yale majambazi ya ccm waliokula pesa zetu za Escrow.Chadema ni mti wenye Matunda mema kurushiwa mawe ni kawaida
 
Kama usingepost hii kitu wala nisingejua ww ni mtu wa aina gani, Ila kwa post hii tu najua familia yako ina hasara kubwa sana.
 
Tukio lingine ni Kikwete kuhongwa suti tano na Kinana kuuza Ndovu nje ya Nchi,na Ridhiwani kukamatwa na unga(sembe) China. Kwa sasa hivi naishia hapo,baadaye nitarudi tena.
 
Attachments

  • IMG-20141227-WA0007.jpg
    IMG-20141227-WA0007.jpg
    153.5 KB · Views: 332
Jingine la aibu ni hili.

Mbowe kukataa shangingi aina ya Landcruiser VX V8 hadharani, ila baadae akaenda kulichukua na kuanza kulitumia mpaka leo hii.

VX V8.jpeg
 
Wadau nimeona leo tujikumbushje matukio ya aibu ya CHADEMA ambayo chama hicho kiliyafanya baina ya mwaka 2010 mpaka mwaka huu tulionao. Baadhi ya matukio hayo ni kama ifuatavyo;

(1) CHADEMA ilisusia hotuba ya Rais Dr. Jakaya Kikwete wakati akitoa hotuba ya kufungua Bunge November 18, 2010 kwa kutoka nje ya bunge kwa madai ya kutomtambua rais, hili tukio lilikuwa la aibu kwa CHADEMA na kujidhalilisha na liliwaonyesha wananachi wa majimbo waliowachagua aina ya wabunge waliowachagua.

Tukio hilolilijidhihirisha kuwa wabunge hao ni magwiji wa uvunjifu wa sheria kwa kushindwa kuiheshimu katiba ya nchi walioahidi kuilinda wakati wakila kiapo rasmi cha kuwa wabunge . Licha ya kwamba baadaye walikuja kumuangukia Dr. Kikwete na kumtambua kuwa ni Rais halali wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.

(2) Tukio lingine la aibu ni la mbunge wa chama hicho, Joseph Mbilinyi (Sugu) amabaye alitolewa nje kwa nguvu kwa kuburuzwa na askari wa Bunge baada kuanza kupiga askari hao wa bunge baada ya kukaidi amri ya Naibu Spika Ndugai kumtaka kutoka nje.

Tunaweza kuendeleza uzi huu kwa kuandika matukio tata ya chama hicho.

Du eti ndo wachambuzi wa siasa wa tz.yanayotokea bungeni ya akina asumpta mshana na kibajaji ni uhalisia wa watz wengi tu kama huyu nguchiro
 
Wadau nimeona leo tujikumbushje matukio ya aibu ya CHADEMA ambayo chama hicho kiliyafanya baina ya mwaka 2010 mpaka mwaka huu tulionao. Baadhi ya matukio hayo ni kama ifuatavyo;

(1) CHADEMA ilisusia hotuba ya Rais Dr. Jakaya Kikwete wakati akitoa hotuba ya kufungua Bunge November 18, 2010 kwa kutoka nje ya bunge kwa madai ya kutomtambua rais, hili tukio lilikuwa la aibu kwa CHADEMA na kujidhalilisha na liliwaonyesha wananachi wa majimbo waliowachagua aina ya wabunge waliowachagua.

Tukio hilolilijidhihirisha kuwa wabunge hao ni magwiji wa uvunjifu wa sheria kwa kushindwa kuiheshimu katiba ya nchi walioahidi kuilinda wakati wakila kiapo rasmi cha kuwa wabunge . Licha ya kwamba baadaye walikuja kumuangukia Dr. Kikwete na kumtambua kuwa ni Rais halali wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.

(2) Tukio lingine la aibu ni la mbunge wa chama hicho, Joseph Mbilinyi (Sugu) amabaye alitolewa nje kwa nguvu kwa kuburuzwa na askari wa Bunge baada kuanza kupiga askari hao wa bunge baada ya kukaidi amri ya Naibu Spika Ndugai kumtaka kutoka nje.

Tunaweza kuendeleza uzi huu kwa kuandika matukio tata ya chama hicho.

Nafikiri tuorodheshe ya vyama vyote na tueleze hapa bila ya upendeleo hasara na faida zake kwa watanzania. Naona post yako ipo kishabiki zaidi badala ya uhalisia
 
Wadau nimeona leo tujikumbushje matukio ya aibu ya CHADEMA ambayo chama hicho kiliyafanya baina ya mwaka 2010 mpaka mwaka huu tulionao. Baadhi ya matukio hayo ni kama ifuatavyo;

(1) CHADEMA ilisusia hotuba ya Rais Dr. Jakaya Kikwete wakati akitoa hotuba ya kufungua Bunge November 18, 2010 kwa kutoka nje ya bunge kwa madai ya kutomtambua rais, hili tukio lilikuwa la aibu kwa CHADEMA na kujidhalilisha na liliwaonyesha wananachi wa majimbo waliowachagua aina ya wabunge waliowachagua.

Tukio hilolilijidhihirisha kuwa wabunge hao ni magwiji wa uvunjifu wa sheria kwa kushindwa kuiheshimu katiba ya nchi walioahidi kuilinda wakati wakila kiapo rasmi cha kuwa wabunge . Licha ya kwamba baadaye walikuja kumuangukia Dr. Kikwete na kumtambua kuwa ni Rais halali wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.

(2) Tukio lingine la aibu ni la mbunge wa chama hicho, Joseph Mbilinyi (Sugu) amabaye alitolewa nje kwa nguvu kwa kuburuzwa na askari wa Bunge baada kuanza kupiga askari hao wa bunge baada ya kukaidi amri ya Naibu Spika Ndugai kumtaka kutoka nje.

Tunaweza kuendeleza uzi huu kwa kuandika matukio tata ya chama hicho.

Kama ungekuwa na akili timamu ungeelezea matukio ya aibu ya CCM kama vile kuongoza na kuwa na mawaziri wabovu kuliko wote Africa na kusababisha kubadilushwa kila mara na hata wabadilishwao nao huwa ni wabovu kama wengine. au ungeeleza matukio ya aibu ya mwenyekiti wa CCM taifa na raisi kwa kumteua Makonda kuwa DC
 
Back
Top Bottom