Matukio ya 2019 duniani

Pia naona hilo lijitu la miraba ameshika mmea wa marijuana kwahiyo ndo inamaanisha sisi watumiaji ndo tunaelekea kuwa huru??? lifecoded
mkuu hiyo ni dalili kuwa sisi watumiaji tunaelekea kufanya mapinduzi makubwa sanaaaaaaa 😀😀
 
Mkuu lifecoded asante sana kwa mchango wako..ingependeza ungeanzisha uzi utuelezee maana ya hizi number zote kuanzia 0 hadi 9..

Jana kuna mwanasaikolojia nimemskia kwenye radio akizungumza kwamba mwaka huu 2019 ni namba 3 ila hakuingia deep sana kuelezea maana ya namba 3
 
Mnasumbuka tuu wenye uwezo wakujua hawa hapa gusa hapa Vatican Inamiliki Dunia - JamiiForums
 
Hapo kwa Trump sikubaliani na wewe; picha2 inaonesha kuwa atapata shida
 
Mkuu andiko zuri sana hili. Samahani na swali kidogo, huu mchoro aliuchora Da Vinci? na kama ndiye ali specify kwamba dunia itakuwa hivi 2019 au aliandika tu akiizungumzia dunia ya sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…