Matukio, Kauli ya/za ajabu 2016

kidunula1

JF-Expert Member
Apr 2, 2016
6,299
6,331
Amani kwenu wanajamii!

Tukiwa tunaelekea kuumaliza huu mwaka, naomba tukumbushane matukio na kauli mbalimbali ya/za kushangaza katika huu mwaka ambao wengi wetu tuko hoi bin taabani na kutoamini amini hivi mambo yanavyoenda! Karibuni wadau kwa mkumbushano tu,manake kauli za ajabu zilikuwa nyingi hali kadhalika matukio. Mimi mambo yalikuwa magumu hadi mengi nimesahau ilihali natamani kutosahau wakuu.
 
Unatutafutia kesi weye? Kama umesahau umekumbukaje kulikuwa na kauli za ajabu?! Lianzishe wewe tukuongezee, huko ndio kusahau! Ebho!
 
Back
Top Bottom