Suma jkt mwenge barabara ya Bagamoyo mkuuWakuu habari za jioni.
Nauliza niwapi matrekta ya kulimia na majembe yake yanapouzwa hapa Dar?
Msaada tafadhali.
Panaitwa ubungo Bakwata jiran na Mi Casa bar au Atlas schoolsJkt suma mwenge, na pale river side ukiwa unaenda uelekeo wa buguruni upande wa kushoto nimeona Ferguson zimepaki pale.