VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 8,898
- 14,062
Kusikiliza, kusikilizwa, sikiliza umepewa masikio masikio wameumbiwa watu kusikiliza rudia neno kuwasikiliza maana kuna watu wanataka kusikilizwa na hawasikilizwi sasa kuna namna ya kumfanya mtu akusikilize hata km ni kiziwi ukimkata makwenzi mawili au matatu kwa muda fulani mfululizo atakusikiliza huku anaugulia maumivu, sasa mtu akitaka umsikilize mpe nafasi ya kumsikiliza na umtekelezee kile anachosema kuepuka migogoro isiyo na sababu usimzibe mdomo na kujiziba masikio haisaidii kitu sana sana unajitafutia balaa la kudumuMatrafiki walienda kuongeza nguvu kulinda vituo vya polisi tangu tarehe 30 Octoba