Matrafiki wameenda wapi? Hawaonekani barabarani

Bani Israel

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2016
Posts
2,217
Reaction score
4,414
Hivi ni mimi tu ndio siwaoni hawa jamaa zetu? Tangu uchaguzi uishe sijaona kabisa polisi mwenye nguo nyeupe.

Hata kama watakuwepo, nadhani wamekuwa hadimu sana hawa ndugu zetu watoza ushuru kwa njia ya barabara. Vipi pande zenu huko?

 
Hivi ni mimi tu ndio siwaoni hawa jamaa zetu tangu uchaguzi uishe sijaona kabisa polisi mwenye nguo nyeupe hata kama watakuwepo nadhani wamekuwa hadimu sana hawa ndugu zetu watoza ushuru kwa njia ya barabara? vipi pande zenu huko?
Ila ikifika saa kumi na mbili kabla ya giza wanapotea 🤣🤣🤣
 
Hivi ni mimi tu ndio siwaoni hawa jamaa zetu tangu uchaguzi uishe sijaona kabisa polisi mwenye nguo nyeupe hata kama watakuwepo nadhani wamekuwa hadimu sana hawa ndugu zetu watoza ushuru kwa njia ya barabara? vipi pande zenu huko?
Ukitaka kuona trafiki kila dakika endesha gari ukiwa na leseni imeexpire na huna bima.
 
Hao dawa unatoa plate number unawagonga wote alaf unasepa, ubaya ubwela
 
Mambo yamebadilika, hata wao wanataka jioni wapokelewe na watoto na wake zao wakiwa salama
 
Oya kweli mfano Morogoro Rd aisee walikua wengi sahivi hamna kabisa. Jana nimeishia kumuona bidada mmoja anasimamisha wanaopita BRT
 
Vua gwanda vaa kombati,

Kwani wao hawajui kulinda raia?
 
Wamevalishwa sare za kiaskar....walikuwa kweny hii operation...wengine tunawajua ndo walikuwa wanatuelekeza na ofsi za kutia moto due na wenyew washachoka
 
Matrafiki walienda kuongeza nguvu kulinda vituo vya polisi tangu tarehe 30 Octoba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…