Matrafiki na tochi katikati ya mji wa Dar es Salaam

Matrafiki na tochi katikati ya mji wa Dar es Salaam

Sasa ikitokea ajali kwa kuhimizwa niongeze mwendo who will be answerable?Kwa sababu zipo cases haohao askaro ndio chanzo cha ajali wanapokuwa aidha wanaongoza au wasiamamisha magari bila mpangilio.
Kama trafki yupo let say Ubungo mataa anaita magari kwa haraka, then kuna mwenda kwa miguu amegonjwa maeneo ya ubungo maji kwenye zebra ambapo hakuna askari huoni kama trafki ni chanzo cha ajali?
Kama ni amri ya traffic hapo dereva atakuwa katika safe side lakini hata hivyo tuzingatie kwamba mara nyingi tukio hili linatokea kwenye maeneo ya makutano ya barabara na inategemea mwenendo mzima wa magari na in most cases lazima huwa kuna askari mwingine kwa mbele ambae anaangalia mwenendo mzima wa magari hasa yanayotaka kuingia njia kuu. Kwa ujumla hakuna jambo jema lisilo na kasoro hivyo wakati mwingine makosa ya kibinadamu yanatokea pia na ajali zinatokea kwa mtu kukatiza
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Sikatai Mkuu ila ni lazima kuwe na ukomo au basi wangetoa kabisa vibao husika tukaenda kwa style hiyo
Kimsingi vibao vinatakiwa viwepo kuonyesha speed limit kama sehemu ya kumkumbusha dereva kwa case ya mjini inatakiwa kila baada ya umbali flani unakutana na kibao cha msisitizo hasa ukizingatia kuna wageni kutoka nje ya nchi ambao unaweza ukakuta sheria kwao ni tofauti na ya kwetu kwa namna moja ama nyingine....lakini kwa kukazia sheria ndo hivyo ni amri kwa dereva yoyote akifika maeneo ya makazi kutembea speed 50km/h ili kuondoa sintofahamu (serikali imejihami ili isiwe responsible kwa lolote)

Tupo pamoja kwenye hili ila ni katika kuangalia mapungufu ya sheria zetu na of course TANROAD ndo wanatakiwa kuwa responsible na uwekaji wa alama na vibao vyote vya barabarani
 
Kama ni amri ya traffic hapo dereva atakuwa katika safe side lakini hata hivyo tuzingatie kwamba mara nyingi tukio hili linatokea kwenye maeneo ya makutano ya barabara na inategemea mwenendo mzima wa magari na in most cases lazima huwa kuna askari mwingine kwa mbele ambae anaangalia mwenendo mzima wa magari hasa yanayotaka kuingia njia kuu. Kwa ujumla hakuna jambo jema lisilo na kasoro hivyo wakati mwingine makosa ya kibinadamu yanatokea pia na ajali zinatokea kwa mtu kukatiza
Asante.
Maeneo ya Makongo (Bagamoyo Road Kama unapafaham)Asbuh huwa kuna MPs wanaongoza magari,lengo ni kuhakikisha watumiaji wa barabara ile hasa maeneo yale wanavuka kwa usalama,kuna wakati hao MPs husimakisha magar as matrafki,lakini utaratibu wao sometimes husababisha hata ajali,je hapo napo dereva atakua safe
 
Hao wameingilia kazi sio zao ila kwa taratibu zetu wenye nchi wanaweza wakawatetea kwa kusema hilo ni eneo nyeti
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom