Matokeo yangu ni haya lakini bado sijapata shule

7ya

Member
Oct 10, 2015
43
0
WanaJF

Mimi matokeo yangu (ya kidato cha nne) yako kama ifuatavyo;

Chemistry-b
Biology-b
English-b
History-d
Civics-d
Geography-c
Mathematics-c
Kiswahili-c

Halafu sijapata shule. Je, kuna uwezekano wa kutafuta shule ya serikali kwa jitihada zangu mwenyewe?

Kwa mwenye msaada please nisaidie kwani siwezi kwenda private sababu sina uwezo.
 
Haaa embu acha masihar bhas.. yan hujachaguliwa kwa viwango ivyo embu kuwa mkwel km izo sio maksi zako.
 
Mimi nilichagua cbg na egm na swala la miaka mi Nina miaka 18 kwa sasa
 
ndg zangu cjatoa thread kwa masihara naongea ukweli hivyo kama kuna namna yoyote mnisaidie tafadhali
 
Dogo usijali lazima utapata shule kuna kijana mtaani ana matokeo kama hayo ameachwa
 
Serikali mwendokasi inafanya makosa mengi sana inawezekana wamekusahau,sijui kama siku hizi bado kun a second selection
Ila kama una uhakika hayo matokea ni kweli na comb zili balance hebu jaribu kwenda necta pale mwenge uelezee yaweza kuwa kuna sababu zaidi ya www unazozifikilia
 
Asante sana mkuu ngoja nijaribu huenda wao wana sababu ya kuniacha
 
necta kaz yao ni kuandaa, kuchapisha, kusimamia,kusahihisha na kutoa matokeo but hawausiki hata chembe juu ya suala la selection hiyo ni kaz ya TAMISEMI
 
necta kaz yao ni kuandaa, kuchapisha, kusimamia,kusahihisha mitihan, kutoa matokeo na kuandaa slip result pamoja na vyet but hawausiki hata chembe juu suala la selection hiyo ni kaz ya TAMISEMI
 
WanaJF

Mimi matokeo yangu (ya kidato cha nne) yako kama ifuatavyo;

Chemistry-b
Biology-b
English-b
History-d
Civics-d
Geography-c
Mathematics-c
Kiswahili-c

Halafu sijapata shule. Je, kuna uwezekano wa kutafuta shule ya serikali kwa jitihada zangu mwenyewe?

Kwa mwenye msaada please nisaidie kwani siwezi kwenda private sababu sina uwezo.
Tuwekee namba yako ya mtihani tujiridhishe. Nikiipata kama ni kweli hukuchaguliwa kwa ufaulu huo ndani ya siku tano utapata majibu ni nini kimetokea na kama hakuna tatizo utaona posting yako mara moja.
Comb za CBG na EGM ulizochagua zimekubali.
 
Back
Top Bottom