Wakuu tukumbushane kidogo matokeo yako ya kidato cha nne na darasa LA saba yalipotoka ulikuwa wapi na unalikuwa unafanya nini ? Mimi ilikuwa hivi
-matokeo ya la saba yalipotoka nilikuwa na marafiki zangu kama watano hivi ambao tulikuwa tumetoka kuiba maembe kwa bibi flani hivi siku moja kabla ya x-mas narudi nyumbani naambiwa umefaulu aisee nilifulahi sana
-Ngoma February hio niko katikati ya ugomvi nimeshapigwa hapo then mshaji wangu ananilitea information kwamba nimegonga ziro dah sikurudi nyumbani mpaka siku ya pili jamaa anakuja kuniambia nilikuwa nakudanganya umepata two
Je wewe ulikuwa wapi ?