Perrez Amanaya7
JF-Expert Member
- Jul 27, 2019
- 225
- 253
Ameen mkuu mungu mkubwa.Mungu kakupa hyo mkuu,, Endelea kupambana ukiiingia oral kwa Ile idadi ya watu walivyokuwa basi jihesabu ushaingia mguu mmoja kwenye Ajira.. Kila la kheri JobSeeker
Ameen mkuu mungu mkubwa.Mungu kakupa hyo mkuu,, Endelea kupambana ukiiingia oral kwa Ile idadi ya watu walivyokuwa basi jihesabu ushaingia mguu mmoja kwenye Ajira.. Kila la kheri JobSeeker
Oyaaa hongera sana mwanetu [emoji869]Ameen mkuu mungu mkubwa.
Acha tu mkuu nashukuru kwakweli ngoja nikamalizie kazi iliobaki sasa, japo mungu ndio kila kitu.Oyaaa hongera sana mwanetu [emoji869]
Kakaze sasa kwenye Oral huko
Sema sio poa kudadeki [emoji23][emoji3][emoji3], watu 52 tu Kati ya 3500+ sio mchezo
Sent using Jamii Forums mobile app
Yote mema mzee, Mungu hubariki juhudi. Kafanye sehemu yako.Acha tu mkuu nashukuru kwakweli ngoja nikamalizie kazi iliobaki sasa, japo mungu ndio kila kitu.
Mwana ulitupiga kambaYANI UKIONA JINA LAKO HALIPO UJUE UMEPATA CHINI YA ALAMA MOJA, [emoji23] HUWA WANACHUKUA MARKS FULANI NA KUZIPUBLISH MFANO WENGINE UNAKUTA CHINI YA 20...SO KWA HAPO KUNA WENGI WANA SIFURI SI CHINI YA WATU 100
Ni wale washkaji wa kwenye uzi wa masihara rickboy na wenzake [emoji1787][emoji1787]Hahaha.. Kapata alama moja, na unaweza kuta ni member mwenzetu humu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2][emoji2]mzee wa machadema[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Subiri nawe yako ya TRA usiwacheke wenzio😁😁Zero ziko 186.
Kazi kweli kweli.