Pdf plzSafi sana
Mimi sihusiki mkuuPdf plz
Hahaha..sijui anajisikiaje huko aliko sahiziNamfikiria huyo aliyepata moja,utakuta ni mdingi kabisa na mvi zake kichwani.
Kalamba 1?😂😂
Ohy hv mbona malalamiko ya kuwa pepa ni ngumu humu ndani yalikuwa kwa watu wengi halafu huo mkeka naona ni watu wachache tu.. imakuwaje kwani au wanatoa kwa batch kwamba hii ni Batch 1..?Namfikiria huyo aliyepata moja,utakuta ni mdingi kabisa na mvi zake kichwani.
Hahaha.. Kapata alama moja, na unaweza kuta ni member mwenzetu humuKalamba 1?[emoji23][emoji23]
Ni eltwegeHahaha.. Kapata alama moja, na unaweza kuta ni member mwenzetu humu
Sent using Jamii Forums mobile app
YANI UKIONA JINA LAKO HALIPO UJUE UMEPATA CHINI YA ALAMA MOJA, 😂 HUWA WANACHUKUA MARKS FULANI NA KUZIPUBLISH MFANO WENGINE UNAKUTA CHINI YA 20...SO KWA HAPO KUNA WENGI WANA SIFURI SI CHINI YA WATU 100Ohy hv mbona malalamiko ya kuwa pepa ni ngumu humu ndani yalikuwa kwa watu wengi halafu huo mkeka naona ni watu wachache tu.. imakuwaje kwani au wanatoa kwa batch kwamba hii ni Batch 1..?
yaliyotoka ni kwa kada ya Head Boatman na si Operation officers ambao waliitwa 6000Ohy hv mbona malalamiko ya kuwa pepa ni ngumu humu ndani yalikuwa kwa watu wengi halafu huo mkeka naona ni watu wachache tu.. imakuwaje kwani au wanatoa kwa batch kwamba hii ni Batch 1..?
Operation officer wanatoa siku ya jumanne yani kesho sio leo.yaliyotoka ni kwa kada ya Head Boatman na si Operation officers ambao waliitwa 6000
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahyo kada waliolalamika kuwa wamepigwa za uso ndo hyo Operation Officers na bado hawajatoa majibu nadhaniyaliyotoka ni kwa kada ya Head Boatman na si Operation officers ambao waliitwa 6000
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] 1 ya wino.Kalamba 1?[emoji23][emoji23]
Nishawahi kupata 0 test chuo, sikulambishwa hata ya kalamu aisee😂😂[emoji23][emoji23][emoji23] 1 ya wino.
[emoji23][emoji23][emoji23] hatarii sanaaaNishawahi kupata 0 test chuo, sikulambishwa hata ya kalamu aisee[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Namfikiria huyo aliyepata moja,utakuta ni mdingi kabisa na mvi zake kichwani.