Matokeo ya usaili wa zimamoto

Matokeo ya usaili wa zimamoto

Mullocoz

Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
23
Reaction score
2
Jamani matokeo ya usaili wa zimamoto vp jaman mbona kimyaaaaa sana tujuzane wa JF😱hwell:
 
wengne ndo tunaenda kumalizia usail kesho we unataka majibu wabongo weng hatna uvumilv.
 
Usiweke tegemeo kubwa,ka vp endelea na michongo mingine.kutokana na idadi kubwa ya watu,itaendelea kubaki kama bahati na sibu.
 
ngoja interview ziishe kwanza mkuu ndo uanze kujadil,ili ujue upo au la,hapo ndo kimbembe ndg
 
tulia kama ipo ipo tu tuliza mzuka usiweke 100% kuwa utapata ukikosa utaumia sana.
 
yote heli wawez pata au kukosa,lakin polen san na usail wenu
 
Back
Top Bottom