Matokeo ya Usaili wa Mchujo PPF uliofanyika DUCE 28-Aug

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,915
Reaction score
30,027

Attachments

Hili tangazo halieleweki,
1) Halielezei ni Intavyuu ya aina gani hiyo itakayofanyika kesho tarehe 08, kama ni ORAL au WRITTEN
2) Halielezei mahali ambako Interview hiyo itafanyika. Je ni Makao makuu ya PPF au ni pale pale DUCE ilipofanyikia usaili wa awali
 
Japo sijafungua ila kiukweli interview za serikalini na taasisi zake huwa ni za kibabe hata mchakato wa kuwaita watu kuripoti kazini nao ni wa kibabe sana maana unaweza ukaambiwa interview Ijumaa alafu taarifa unapewa jumatano ukiwaambia nipo Nangurukulu siwezi kuwahi labda nifanye siku inayofuata jibu linakuja bahati mbaya haiwezekani

Na kwenye kuitwa kazini hivyo hivyo mtu anaitwa tu utasema huko anakotoka hata kama hana ajira kuna mambo alikuwa hafanyi kiasi kwamba akaachiwa muda wa kufanya handover na maandalizi mengine
 
In fact hili tangazo limetoka jana Jumatano na Intavyuu ni Ijumaa. Labda hawataki watu wajiandae hivyo inakua sehemu ya mchujo.
Swala la location na aina ya intavyuu najiuliza hata mimi ni bahati mbaya au walidhamiria. Maana hata maandalizi ya intavyuu hutegemea pia kama ni ORAL au WRITTEN.

Hawa PPF kama wanapita hapa basi wakarekebishe hili swala ili kutowachanganya prospected candidates.
 
Kwa mtaji huu kuna baadhi ya watu wenye mahusiano na watu wa PPF wanakuwa kitambo wamepata taarifa yaani zile tips za posible dates za interview hivyo wanakuwa wanajiandaa...kazi ya HR sio kuwakomoa candidates bali kuwajengea mazingira mazuri ya kufanya interviews pia kujali uweledi wao
 
Hili tangazo halieleweki,
1) Halielezei ni Intavyuu ya aina gani hiyo itakayofanyika kesho tarehe 08, kama ni ORAL au WRITTEN
2) Halielezei mahali ambako Interview hiyo itafanyika. Je ni Makao makuu ya PPF au ni pale pale DUCE ilipofanyikia usaili wa awali
Inaelekea wamepitia humu wakaona hiki kilio, kwani wameharisha na sasa wametoa location ambako usaili utafanyika pale pale ulipofanyikia usaili wa kwanza, yaani Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE)
 
PPF huwa wanakuwa na written mbili na hiyo ni ya pili, nilishawahi fanya written na interview zao miaka ya nyuma
 
Inaelekea wamepitia humu wakaona hiki kilio, kwani wameharisha na sasa wametoa location ambako usaili utafanyika pale pale ulipofanyikia usaili wa kwanza, yaani Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE)

Wameongeza na majina.

Ila hawapo makini kabisa kuna wengine waliona lile tangazo jana wakasafiri leo ili kesho wafanye usaili......wanafika Dar wanaambiwa usaili ni Jumatatu.

PPF kuweni makini basi mnachanganya sana kama vipi wapeni Sekretarieti wawafanyie mchakato mzima.
 
Aisee
 
PPF ni mazombi waliokubuhu!

Mtihani haufahamiki kama ni written au oral japo kuna mkuu hapo juu kasema huwa written zinakuwaga mbili.
 
Mkuu hiyo ni written ya pili tena usishange ukauliza hotline number ya PPF uitaje au jina la mwenyekiti wa bodi ya PPF au swali lolote kuhusiana na matukio yaliyotokea week za hivi karibuni
 
naomba hayo majina YALIYOTOLEWA
 
Mkuu hiyo ni written ya pili tena usishange ukauliza hotline number ya PPF uitaje au jina la mwenyekiti wa bodi ya PPF au swali lolote kuhusiana na matukio yaliyotokea week za hivi karibuni
hahaha hotline tena? au na wao wataulizia ripoti ya Zungu maana makinikia TRA walishaiwahi
 
Jiandae kwa kila kitu mkuu, ilo swali la hotline walishawahi itoa miaka ya nyuma, jiandae vizuri mkuu
 
Back
Top Bottom