Distinction
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 747
- 399
Mtoa mada bangi ni mbaya sana kijana wangi.
Kavuta ushuz wa punda mana nao ni hatar sana.
Mtoa mada bangi ni mbaya sana kijana wangi.
hiyo ni taarifa kutoka Nairobi,Kenya na sio TZ Source Mwananchi la Leo...
elfu 10 c kweli maana form 6 walikua 608 na form 4 walikua 5411..... labda hesabu za memkwa ndio itakuja elf10
Hizi ni nafasi za form four na six waliofanya usaili mwezi uliopita,walikua zaidi ya 10000 ,,mchakato ulighubikwa na sintofahamu
Source;nipashe la leo