Larusai Mux
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 980
- 280
Hizi ni nafasi za form four na six waliofanya usaili mwezi uliopita,walikua zaidi ya 10000 ,,mchakato ulighubikwa na sintofahamu
Source;nipashe la leo
Source;nipashe la leo
...mchakato uligubikwa na sintofahamu...it needs some more clarifacation! mkuu weka taarifa kama kama inawezekana.
Ina maana watu siku hizi wanapenda sana upolisi.
Kweli Simba akikosa nyama hata majani atakula.
Hizi ni nafasi za form four na six waliofanya usaili mwezi uliopita,walikua zaidi ya 10000 ,,mchakato ulighubikwa na sintofahamu
Source;nipashe la leo
jamaa kakosea hizi ni habari za kimataifa sio TZ