Chadema wameshinda udiwani kata ya malinyi, mshindi ni said tira amemshinda diwani aliyekuwa anatetea kiti ndg mussa mbowela, mchuano uko kati professa mlambiti wa chadema na hadji mponda wa ccm, kwa matokeo ya tarafa ya malinyi na tarafa ya ngoheranga chadema wamepata 70% ya kura zote, kama chadema wataweza kugawana kura na ccm ktk tarafa ya mtimbira basi ni dhahiri mkoa wa morogoro unatoa mbunge wa kwanza mpinzani kwa tikiti ya chadema.