Wadau naomba tukubaliane kutokukubalina,niliitwa kwenye hiyo interview sema nilishindwa kufika coz nilikosa nauli ya kutoka kigoma kuja dsm,nikiwa naangalia matokeo ya waliofaulu..nimeona jina la jamaa niliyesoma nae pale IFM ameitwa kwenye oral interview...jamaa anajua accounts na saana na amepiga pepa zao module F may ni mara ya pili! tumefanya nae interviews zaidi ya moja bila mafanikio tukilalamika suala la rushwa na kujuana ikiwa ni pamoja na ile ya TANAPA..leo hii kuona ameitwa kwenye oral interview ambayo sio guarantee kwamba atapata kazi..napata imani kwamba it was a fair process...na kujua majibu ya maswali magumu ya NBAA!...NEXT TYM TUJIANDAE ZAIDI NA KUJIPANGA COZ KAMA UNAJUA UNAJUA TU..NA TUKUMBUKE KUNA WAAOJUA NA KUFAULU ZAIDI YA WANAOJUA..GUD LUK NEXT TYM!