pemgtoonet.com JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 879 Reaction score 618 Aug 30, 2013 #21 nashukuru pia sky-haf najua dogo langu atafurahi sana maana bado wapo jkt huko
M Maindi Matete Member Joined Aug 30, 2013 Posts 9 Reaction score 0 Aug 30, 2013 #22 Mambo. mnaoweza Kucheki, Phanuel Gatyo Charo Kachaguliwa Chuo Gani Na Digrii Ipi? S0996/0130 2010
pemgtoonet.com JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 879 Reaction score 618 Aug 30, 2013 #23 Nashukuru wadau wa jf mmenijulisha mambo mengi na ya msingi zaidi. Pamoja sana nimeona jina la mdogo angu
Nashukuru wadau wa jf mmenijulisha mambo mengi na ya msingi zaidi. Pamoja sana nimeona jina la mdogo angu
F fidelis zul zorander JF-Expert Member Joined Mar 6, 2012 Posts 687 Reaction score 179 Aug 30, 2013 #24 kelele zitapungua sasa...
Manjagata JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 16,544 Reaction score 18,652 Aug 30, 2013 #25 Bandugu na wa nacte wamo? Yaani hawa watu wanatukera ile mbaya! Tumevumilia sana lakini sasa uvumilivu karibia utafika 0!
Bandugu na wa nacte wamo? Yaani hawa watu wanatukera ile mbaya! Tumevumilia sana lakini sasa uvumilivu karibia utafika 0!
P Prosper Marcus Member Joined Jul 22, 2011 Posts 19 Reaction score 2 Aug 30, 2013 #26 dah! i thank God coz nami nimo
mohammad_othar JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 247 Reaction score 42 Aug 30, 2013 #27 Ni kweli mkuu umesomeka
M Mahatane New Member Joined Aug 30, 2013 Posts 3 Reaction score 0 Aug 30, 2013 #28 jaman mzumbe mbona hawajatoa post za course zote
C chitanga Member Joined Jun 9, 2013 Posts 18 Reaction score 1 Aug 30, 2013 #29 Manjagata said: Bandugu na wa nacte wamo? Yaani hawa watu wanatukera ile mbaya! Tumevumilia sana lakini sasa uvumilivu karibia utafika 0! Click to expand... wa nacte wamo pia
Manjagata said: Bandugu na wa nacte wamo? Yaani hawa watu wanatukera ile mbaya! Tumevumilia sana lakini sasa uvumilivu karibia utafika 0! Click to expand... wa nacte wamo pia
N nitta Member Joined Jul 31, 2013 Posts 62 Reaction score 1 Aug 30, 2013 #31 Thats mipango...... Attachments selected_bachelor_degree_2013.pdf selected_bachelor_degree_2013.pdf 285 KB · Views: 345
D Deusbaraka Member Joined Jul 15, 2013 Posts 19 Reaction score 0 Aug 30, 2013 #32 ASANTE MKUU, NIMEYAONA:smile-big:
S Slaker JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 237 Reaction score 31 Aug 30, 2013 #33 Selected Candidates for Undergraduate Degree Programmes 2013/2014 KARIBUNI SUA WADOGO ZANGUUUUU,,,:kev::kev::wave::wave:
Selected Candidates for Undergraduate Degree Programmes 2013/2014 KARIBUNI SUA WADOGO ZANGUUUUU,,,:kev::kev::wave::wave:
Manjagata JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 16,544 Reaction score 18,652 Aug 30, 2013 #34 chitanga said: wa nacte wamo pia Click to expand... Asante mkuu kweli nimeona tumo. Binafsi wamenipa chaguo langu la kwanza BVM!! Sasa tupumzike looh karibia tungeugua BP!
chitanga said: wa nacte wamo pia Click to expand... Asante mkuu kweli nimeona tumo. Binafsi wamenipa chaguo langu la kwanza BVM!! Sasa tupumzike looh karibia tungeugua BP!
C chitanga Member Joined Jun 9, 2013 Posts 18 Reaction score 1 Aug 30, 2013 #35 Manjagata said: Asante mkuu kweli nimeona tumo. Binafsi wamenipa chaguo langu la kwanza BVM!! Sasa tupumzike looh karibia tungeugua BP! Click to expand... pamoja sana,malizia malizia kula bata ukifika huko ni msuli mwanzo mwisho.
Manjagata said: Asante mkuu kweli nimeona tumo. Binafsi wamenipa chaguo langu la kwanza BVM!! Sasa tupumzike looh karibia tungeugua BP! Click to expand... pamoja sana,malizia malizia kula bata ukifika huko ni msuli mwanzo mwisho.
E engmtolera JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 5,149 Reaction score 1,441 Aug 30, 2013 #36 Naona Agricultural Engineering kuna wanawake watatu tu,jamani tuwahamasishe wanadada,wasiogope kozi hii,ni ngumu sawa lakini ukikomaa unatoka
Naona Agricultural Engineering kuna wanawake watatu tu,jamani tuwahamasishe wanadada,wasiogope kozi hii,ni ngumu sawa lakini ukikomaa unatoka
Manjagata JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 16,544 Reaction score 18,652 Aug 30, 2013 #38 Slaker said: Selected Candidates for Undergraduate Degree Programmes 2013/2014 KARIBUNI SUA WADOGO ZANGUUUUU,,,:kev::kev::wave::wave: Click to expand... Asante mkuu! Ila wengine sisi ni kaka zako pamoja na kwamba umetutangulia huko! Kwa hiyo sema Karibuni kaka zangu na wadogo zanguuuuuuuu ili ututendee haki na sisi kaka zako!!
Slaker said: Selected Candidates for Undergraduate Degree Programmes 2013/2014 KARIBUNI SUA WADOGO ZANGUUUUU,,,:kev::kev::wave::wave: Click to expand... Asante mkuu! Ila wengine sisi ni kaka zako pamoja na kwamba umetutangulia huko! Kwa hiyo sema Karibuni kaka zangu na wadogo zanguuuuuuuu ili ututendee haki na sisi kaka zako!!
Moyibi JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 1,054 Reaction score 702 Aug 30, 2013 #39 karibun sua..... but... vijan wangu wa bvm... mje mmejiandaaaa coz hii shule c ya kitoto
K kajuka JF-Expert Member Joined May 9, 2013 Posts 606 Reaction score 233 Aug 31, 2013 #40 wekeni majina ya sua