Matokeo ya simba na yanga

Matokeo ya simba na yanga

Simba Mkali

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
620
Reaction score
243
Dakika ya tatu Amri Athuman Kiembe anaipatia Simba bao la kuongoza.
 
simba ni hatari jamani kwani nani asiyemjua simba?
 
Yanga wamechomoa kwa mkwaju wa penati iliyopigwa na Said Bahanuzi dakika ya 65.
 
Simon Msuva wa Yanga anapewa kadi nyekundu dakika 75 baada ya kumchezea vibaya Said Nyoso. Mira umeisha 1-1.
 
Jioni hii hata hali ya hewa imebadilika.simba katawala.simba wanatisha km njaa
 
Back
Top Bottom