Matokeo ya simba na mtibwa

Matokeo ya simba na mtibwa

ndomyana

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
5,725
Reaction score
2,262
Wadau mlio uwanjani au mnaoskiliza mpira, wengine tupo mbali tunaomba updates za fainali ya super8
 
Hongera Matola, hongera Simba kwa ushindi wa 4:3. Namshauri Rage awaachie hizo zawadi M40 hawa watoto wajipongeze. Soka wanaliweza.
 
Back
Top Bottom