Matokeo ya Saint Mathew Form IV 2011 yameondolewa NECTA

Status
Not open for further replies.

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,233
Katika Kudhihirisha Ule Usemi wa Serikali Ina Mkono Mrefu matokeo hayo kwa sasa hayapatikani ila shule nyingine zinapatikana kama Kawaida.

Hii ni Baada ya Mtoto wa Kikogogo Kuwa katika List ya watoto Vilaza wanaosoma Chuo Kikuu lakini Pia mnamo mwaka 2012 yalikua yamo humu JamiiForums.
============

MODERATOR: TETESI HIZI SIO ZA KWELI. MATOKEO YA SAINT MATHEW SECONDARY SCHOOL FORM IV 2011 YAPO HEWANI.
==>>> NECTA CSEE 2011
 
Baba Jesca mbona unabadilika? Hata kama ni kilaza ni mtoto wetu huyo.
 
Sio kweli mkuu, nimeangalia sasa hivi yapo na isitoshe humu jukwaani yapo toka 2012, Mods kumnusuru mtoa mada na cyber crime mngeuondoa huu uzi
 
Waondoe au wasiondoe yote sawa. Ila mkuu amelikoroga. Kauli yake imewaumiza sana watoto wengi wa masikini waliokuwa wanasoma UDOM na walipelekwa pale na serikali hii hii kwa special program, lakini kwa vile MUNGU haufichi uzandiki mateso yaleyale yanamwangukia mwanae ambaye naye ni "kilaza" lakini kwa nguvu ya mzazi yuko UDOM.
Maneno na ushahidi unaowekwa mitandaoni utamtesa kisaikolojia sana Jesca kuliko wale 7800.
Wakale walisema ulimi uliponza kichwa. Kapeleka tatizo kubwa sana nyumbani kwake na aangalie binti asije jidhuru
 
Kimsingi Chuo Kikuu Cha Dodoma kilikua kimepoa Na Maskendo yale ya Zamani Lakini Rais amekuja Kukichafua kwa mara nyingine na Rais wao naona hata hana Nguvu hii kitu itawasumbua tena.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom