The Khoisan Platinum Member Joined Jun 5, 2007 Posts 18,655 Reaction score 18,298 Nov 2, 2010 #1 Peter Peter Mziray: Kura 4275 = 1.45 %; Jakaya Kikwete: 186 1877 = 64.2 %; Dr. Slaa: 578 636 = 19.95 % Prof. Lipumba: 238 259 = 8.22 % Mutamwega: 5690 = 0.2 % Fahmi: 3435 = 0.12 % Zilizoharibika: 163 562 = 5.64 % Matokeo ya kura za urais according to Mwananchi: Mwananchi Election Editions
Peter Peter Mziray: Kura 4275 = 1.45 %; Jakaya Kikwete: 186 1877 = 64.2 %; Dr. Slaa: 578 636 = 19.95 % Prof. Lipumba: 238 259 = 8.22 % Mutamwega: 5690 = 0.2 % Fahmi: 3435 = 0.12 % Zilizoharibika: 163 562 = 5.64 % Matokeo ya kura za urais according to Mwananchi: Mwananchi Election Editions
Cynic JF-Expert Member Joined Jan 5, 2009 Posts 5,144 Reaction score 1,658 Nov 2, 2010 #2 Mr. Zero said: Zilizoharibika: 163 562 = 5.64 % Click to expand... Thanks. Ila hii rate ya kura kuharibika ni kuwa mno. Au kuna tatizo kwenye design ya karatasi ya kupigia kura?
Mr. Zero said: Zilizoharibika: 163 562 = 5.64 % Click to expand... Thanks. Ila hii rate ya kura kuharibika ni kuwa mno. Au kuna tatizo kwenye design ya karatasi ya kupigia kura?
The Khoisan Platinum Member Joined Jun 5, 2007 Posts 18,655 Reaction score 18,298 Nov 2, 2010 Thread starter #3 Cynic said: Thanks. Ila hii rate ya kura kuharibika ni kuwa mno. Au kuna tatizo kwenye design ya karatasi ya kupigia kura? Click to expand... Labda ndiyo uchakachuaji wenyewe huo??
Cynic said: Thanks. Ila hii rate ya kura kuharibika ni kuwa mno. Au kuna tatizo kwenye design ya karatasi ya kupigia kura? Click to expand... Labda ndiyo uchakachuaji wenyewe huo??
jyfranca JF-Expert Member Joined Oct 3, 2010 Posts 297 Reaction score 8 Nov 2, 2010 #4 Huyu kikwete vipi mbona anpata ushindi mdogo sana kama wa Mkapa 1995.
P PapoKwaPapo JF-Expert Member Joined Jun 5, 2008 Posts 380 Reaction score 45 Nov 2, 2010 #5 hii si mikoa ambayo kikwete alitegemewa kushinda kwa kishindo?
kilemi JF-Expert Member Joined Mar 13, 2009 Posts 547 Reaction score 108 Nov 2, 2010 #6 Majimbo yanayotangazwa ni yale ambayo hata kabla ya uchaguzi tulijua CCM watashinda!! Kunani tume ya uchaguzi?
Majimbo yanayotangazwa ni yale ambayo hata kabla ya uchaguzi tulijua CCM watashinda!! Kunani tume ya uchaguzi?
The Invincible JF-Expert Member Joined May 6, 2006 Posts 6,006 Reaction score 3,281 Nov 2, 2010 #7 NEC wametangaza matokeo mengine sasa hivi. Inashangaza hata Nyamagana Mkwere anaongoza dhidi ya Slaa. Uchakachuaji mchana kweupe?
NEC wametangaza matokeo mengine sasa hivi. Inashangaza hata Nyamagana Mkwere anaongoza dhidi ya Slaa. Uchakachuaji mchana kweupe?
Vawulence JF-Expert Member Joined Jan 4, 2009 Posts 1,947 Reaction score 2,164 Nov 2, 2010 #8 Mie nitapata dira wakitaja matokeo ya majimbo ya Kilimanjaro,Arusha,Mbeya,Iringa,Mwanza (sio nyamagana na sengerema) ,Musoma,Manyara (isipokuwa babati),Kigoma,Bukoba na Dar.
Mie nitapata dira wakitaja matokeo ya majimbo ya Kilimanjaro,Arusha,Mbeya,Iringa,Mwanza (sio nyamagana na sengerema) ,Musoma,Manyara (isipokuwa babati),Kigoma,Bukoba na Dar.
2 2 heads up Member Joined Jun 5, 2010 Posts 18 Reaction score 2 Nov 2, 2010 #9 Cynic said: Thanks. Ila hii rate ya kura kuharibika ni kuwa mno. Au kuna tatizo kwenye design ya karatasi ya kupigia kura? Click to expand... Yeah, inatisha! elimu itolewa kabla ya uchaguzi ujao (of coz kama uchakachuaji sio sababu!).:A S angry:
Cynic said: Thanks. Ila hii rate ya kura kuharibika ni kuwa mno. Au kuna tatizo kwenye design ya karatasi ya kupigia kura? Click to expand... Yeah, inatisha! elimu itolewa kabla ya uchaguzi ujao (of coz kama uchakachuaji sio sababu!).:A S angry:
P papichulo Member Joined Sep 29, 2010 Posts 19 Reaction score 0 Nov 2, 2010 #10 imekuaje....mbona slaa anaburuzwa na Jk?