HahahahaMatokeo haya hayakutegemewa.. nadhani heri wasinge tumia mabilion kwa kazi hii ambayo imefeliView attachment 1530207
God is good
jaman mimi lisu ukiacha kama mwanadamu mwenzangu ambae anawezakulingana na baba yangu lakini sija ona lolote toka kwake kama tunavyo aminishwa kwamba wengi wa watanzania mioyo yao ipo kwake, bado ninakukmbu kumbu za docter slaa na lowasa ilikua hivi hivi na kuzidi lakini matokeo yake leo hii wanaoneka kama taka taka katika ulimwengu wa siasa, na si shaka na huyu nae, sijui vijana nini kinatukwamisha!!!
Una matatizo
Msiwe km Wajumbe jamani.Maana naona mnampa tu moyo.Lissu popote ulipo fahamu ya kuwa Watanzania mioyo yetu ipo kwako.
Kura zetu unazo.
Lissu popote ulipo fahamu ya kuwa Watanzania mioyo yetu ipo kwako.
Kura zetu unazo.
jaman mimi lisu ukiacha kama mwanadamu mwenzangu ambae anawezakulingana na baba yangu lakini sija ona lolote toka kwake kama tunavyo aminishwa kwamba wengi wa watanzania mioyo yao ipo kwake, bado ninakukmbu kumbu za docter slaa na lowasa ilikua hivi hivi na kuzidi lakini matokeo yake leo hii wanaoneka kama taka taka katika ulimwengu wa siasa, na si shaka na huyu nae, sijui vijana nini kinatukwamisha!!!
Wasiwasi wangu wasije wakampa moyo halafu mwisho wa siku wampige sindano ya sumu.Wajumbe hawajastafu bafo wapo![]()