duh kwahiyo chadema.ni lisokweMatokeo haya hayakutegemewa.. nadhani heri wasinge tumia mabilion kwa kazi hii ambayo imefeliView attachment 1530207
duh kwahiyo chadema.ni lisokweMatokeo haya hayakutegemewa.. nadhani heri wasinge tumia mabilion kwa kazi hii ambayo imefeliView attachment 1530207
Chadema ina wapiga kura wengi sana ukilinganisha na vyama vingine vya siasa





Huyo aliyetaka tukashtakiwe MIGA?Lissu popote ulipo fahamu ya kuwa Watanzania mioyo yetu ipo kwako.
Kura zetu unazo.
Huyo pimbi wa mabeberu si alitaka tukashtakiwe MIGA?
Sasa kwani hawashindi???.Chadema ina wapiga kura wengi sana ukilinganisha na vyama vingine vya siasa
Aisee. Sio kwa mahaba hayo. Mume wa mtu huyo
Kula kulala huwa hamjifichijaman mimi lisu ukiacha kama mwanadamu mwenzangu ambae anawezakulingana na baba yangu lakini sija ona lolote toka kwake kama tunavyo aminishwa kwamba wengi wa watanzania mioyo yao ipo kwake, bado ninakukmbu kumbu za docter slaa na lowasa ilikua hivi hivi na kuzidi lakini matokeo yake leo hii wanaoneka kama taka taka katika ulimwengu wa siasa, na si shaka na huyu nae, sijui vijana nini kinatukwamisha!!!
Walidhani wamesha imaliza cdm kwa kuwanunua madiwani wenye njaa kali wakaja na wabunge wenye tamaa wakaona wamemaliza kaziMatokeo haya hayakutegemewa.. nadhani heri wasinge tumia mabilion kwa kazi hii ambayo imefeliView attachment 1530207



Ubarikiwe sana mkuu kwa kuwa na moyo wa kizalendoLissu popote ulipo fahamu ya kuwa Watanzania mioyo yetu ipo kwako.
Kura zetu unazo.
Watu wanashindwa kujizuia kwa mahaba ya kiongozi wao
Hata maisha yao ni ya dhiki kubwa sana kwani Mungu hapendi kumtendea mabaya mwenzakoMzee mataga nasiasa za chuki
Ya 2015 tayari walisha weka kirusi wao ndiyo maana walikuwa wanajiaminiWanaiogopa chadema ya 2020 kuliko ile ya 2015.
Lazima watangaze tu maana hawatakuwa na optionAkishinda, uhakika wa kutangazwa upo?
Hata usipo mpenda lkn mamilioni ya Watanzania wapo naye na wapo tayari kumchagua kuwa rais wa Tanzaniajaman mimi lisu ukiacha kama mwanadamu mwenzangu ambae anawezakulingana na baba yangu lakini sija ona lolote toka kwake kama tunavyo aminishwa kwamba wengi wa watanzania mioyo yao ipo kwake, bado ninakukmbu kumbu za docter slaa na lowasa ilikua hivi hivi na kuzidi lakini matokeo yake leo hii wanaoneka kama taka taka katika ulimwengu wa siasa, na si shaka na huyu nae, sijui vijana nini kinatukwamisha!!!
Usipo mkubali wewe siyo issue kuna Watanzania zaidi ya million 50 wanamkubaliMsiwe km Wajumbe jamani.Maana naona mnampa tu moyo.
Wewe kama za chakubangaChadema akili zao kama za vitoto vya chekechea
Watanzania woote wanamkubali sana lissuUsiseme watanzania sema
Wewe mtanzanzia mimi kura yangu kwa Magufuli vipi unisemee
Ubarikiwe sana mzalendo mwenzetu wa kweliAcha kuongea uwongo labda humfahamu hao akina dk slaa na Lowasa waliwapigania wananchi kwa kuwatetea lini kabla ya kugombea. Lisu ameanza kuwatetea wachimbaji wa madini miaka mingi wakati wa serikali ya awamu ya tatu ni mwanaharakati ambaye amekuwa akitetea watu wanaonewa na serikali miaka yote, kutokana na huo ujasiri wake pamoja na uwezo mkubwa alionao wa kujenga hoja ndiyo maana ilipangwa auawe sababu kulikuwa na hofu kuwa atataka kugombea maana CDM huwa mgombea siyo lazima kuwa Mwenyekiti wa chama.