Utaratibu mzuri ungekua kuwagawanya candidates kwa kanda (zones) kulingana na kanda za mikoa.
Mfano, kungekua na vituo vya usahili Dar, Mtwara, Dodoma, Mbeya, Mwanza, Kigoma, na Arusha. Kila candidate afanyie mkoa ambao ni karibu zaidi kwake. Hii ingesaidia sana kupunguza gharama za usafiri na malazi kwa watahiniwa. Hasa kwa usahili wa maelfu kama huu.