Matokeo ya necta kidato cha pili 2013

Mbona matokeo yameshatoka leo?
Tatizo ni kwamba nyie mnayasubiri kwenye tovuti ya necta.....
Kaulizieni matokeo shuleni.
 
Tunaomba siku hizi mambo kiteknolojia wekeni news kwente websites. Wizara ya Elimu igeni mfano wa necta. Hivi hawa wa darasa ka sava 2013 shuke wakuzipangiwa walipost wapi?
 
Ndugu mie ni mwalimu na ninaongea jambo ninalolijua.... Kama mtu ana presha si ndio wakati wa kutumia walimu wakuu? Mitandao haina majibu yote......
asante kwa taarifa mkuu, nina mdgo wng alkuwa ananisumbua sana..
 
Haya wakuu, nauliza matokeo ya NECTA ya watoto wetu wa kidato cha pili mwaka 2013, yanatoka lini? Naomba anayefahamu atupe majibu hapa, maana ninasubiri kwa hamu sana.

Mpeleke mtoto shule,matokeo yatamkuta hukohuko,na kwa taarifa nyepesi waliofeli wataruhusiwa kuingia kidato cha tatu.
 
Back
Top Bottom