Dumbuya
JF-Expert Member
- Jan 23, 2014
- 596
- 880
Habari wanajamvi,
Baada ya kusubiri kwa muda mrefu kwa watahiniwa wa ngazi mbali mbali za mitihani toka bodi ya uhasibu Tanzania,leo tarehe 31 Mei 2018 matokeo ya mitihani iliyofanyika Novemba 2017 yametoka rasmi.
Hii ni baada ya kikao cha wajumbe wapya wa bodi ya Uhasibu walioteuliwa na mheshimiwa raisi wa JMT kuridhia na kuyapitisha matokeo hayo.
Sasa watahiniwa kusubiri kumekwisha; waliopita hongereni na walioshikwa bado kuna nafasi nyingine (Roma haikujengwa siku moja) !!
National Board of Accountants and Auditors - NBAA
Asahnteni.