Mwana Mnyonge
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 518
- 452
Wadau naomba kuuliza matokea ya national audit tuliofanya tarehe 27 july yanatoka lini ?kwa mwenye kujua
nawasilisha
nawasilisha
Ngoja tusubiri wazee, no hurry in tz government.Na itakuwa bahati kama ukiyapata hayo matokeo, mtashtukia tu mmeshaitwa kazini, ukiona kimya jua hujapita