matokeo ya mzumbe university kwangu yamezuwa baa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

matokeo ya mzumbe university kwangu yamezuwa baa!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Thuwaein Yuzarseif, Aug 22, 2012.

 1. T

  Thuwaein Yuzarseif New Member

  #1
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  habari! nawaombeni msaada jamani nimechaguliwa katika chuo kikuu cha Mzumbe, lakini nahitaji nijione kwenye matokeo ya Mzumbe ili nihakikishe. Hivyo wapi ninaweza kuyapata matokeo ya Mzumbe? Mana nimeshafunguwa website yao lakini sijayaona bado.
   
 2. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  tuko pamoja,tusubiri tu watatoa.Maana si mzumbe tu kuna vyuo vingi bado hawajatoa kwenye website zao.
   
 3. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Kwani nani kakwambia umefuzu?
   
 4. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,331
  Likes Received: 2,325
  Trophy Points: 280
  Je umejuaje kama umechaguliwa mzumbe?
   
 5. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,875
  Likes Received: 4,718
  Trophy Points: 280
  TCU Wametuma ujumbe kwa kila applicant
   
 6. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #6
  Aug 22, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,875
  Likes Received: 4,718
  Trophy Points: 280
  TCU Wametuma
  ujumbe kwa kila
  applicant
   
 7. b

  brian360 JF-Expert Member

  #7
  Aug 22, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 222
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  dah! mzumbe wanazingua nimeona semester itaanza 22 october hivi ndicho chuo kinachochelewa kuanza semester TZ Nzima
   
 8. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #8
  Aug 22, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Basi subiri nchecheto ya nini? Umeazima vyeti nn?
   
 9. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #9
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  sasa wewe kwani uliapply kupitia TCU au Mzumbe Univ??? kama tcu washakujibu basi contract imeshakua fulfilled! kwanini unakua mgumu kuamini? au ulipitia mlango wa nyuma??
   
 10. M

  Morinyo JF-Expert Member

  #10
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 2,472
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  #

  Hapo nahisi kama kuna tatizo.
   
 11. paul kitereja

  paul kitereja JF-Expert Member

  #11
  Aug 22, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  una uhakika na unachokisema!!!? waulize watu wanaosoma mzumbe wakwambie semester kwa mwaka wa 1 inaanza lini!! ongea na data ndugu...
   
 12. QUALIFIED

  QUALIFIED JF-Expert Member

  #12
  Aug 22, 2012
  Joined: Jun 13, 2012
  Messages: 747
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  hata mi nshamshtukia huyu jamaa maana huwez toa 30000 afu usiwe na iman na sehem uliotuma maombi,au ni direct entry ata kama majibu tcu yamefata nin nawasilisha mtoa mada
   
Loading...