Matokeo ya mtihani wa mchujo utmishi wa */12/2012

Matokeo ya mtihani wa mchujo utmishi wa */12/2012

Safi sana kama wameacha tabia ya kuandika majina walikuwa wanatugombanisha na waajiri wetu. Basi nitaanza kurusha ndoana katika hili Thanks
 
Sim yangu haifungui pdf please mwenye uwezo wa kuturahisishia msaada jaman
 
taja namba ya exam nikupm kama selected or majanga
 
Nashukuru sana kwa kutujuza hayo matokeo. Naomba kujua hiyo oral interview ya tar 13/12/2012 ya Land Officer itaanza saa ngapi na wapi? Nimejaribu kufungua website yao inaaandika Account suspended. Na link mliyotuwekea hapo juu inaonyesha tarehe ya interview tu, vipi kuhusu muda na venue? Msaada wa wadau
 
Back
Top Bottom