Nilishaona kwa macho mwanaume kafumaniwa akamaind sana eti katiwa aibu bora angemsubiri wakayamaliza ss yule mwanamke alimpiga yule hawara wa mume huku watu wanashuhudia bas alifika nyumbani akampa talaka na haikupita mwez kamuowa hawara ss ya nn kujidhalilisha ni bora ikitokea zipo njia za kufanya na ujumbe ikafika