Elections 2010 Matokeo ya Mbeya Mjini

Nilikuwa natafuta matokeo, live, nikaenda <http://www.nec.go.tz/maps/>. Nikakuta matokeo ya mwaka 2005.

Hivi kuna website, yoyote inayoonyesha matokeo ya nchi nzima, kadri yanavyozidi kumiminika, au ni Jamii Forums pekee.

Nilidhani kutakuwa na statistics somewhere. Mhuu-u-u!
 
Back
Top Bottom