Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 NECTA (CSEE)

Hiyo mipango ya kutatua hilo tatizo inahusisha na kuwasaidia hao waliofeli, maana hio idadi yao mpaka inatia aibu, duh! Zaidi ya nusu wamefeli, MMES na MMEM mko wapi????
Mkuu ufaulu wa mwanafunzi ni mchakato unahusisha mwanafunzi, mzazi/mlezi ,mwalimu(serikali kwa shule za umma) kila mtu akichukua nafasi yake mambo yatakaa vizuri, japokuwa hata kama hao wawili wasipotekeleza wajibu wao kwa ufanisi unaotakiwa yaani mwalimu na serikali bado kupata division ziro ni kazi sana maana hakuna division ngumu kuipata kama ziro hasa mwanafunzi na mlezi /mzazi wakutekeleza wajibu wao
 
Whech! Hivi kwa nini tovuti ya necta haipo kabisa? Sasa matokeo mnayaona wapi wadau? Niambieni bana.
 
Hiyo mipango ya kutatua hilo tatizo inahusisha na kuwasaidia hao waliofeli, maana hio idadi yao mpaka inatia aibu, duh! Zaidi ya nusu wamefeli, MMES na MMEM mko wapi????

Haya ni matokeo ya shule za kata na kuondoa mchujo wa kidato cha pili.
 
wakreisto waliofeli wamefelishwa na viongozi wakiislamu walioko necta................

mnashangaa haya bado ya firauni yanakuja cheza na upuuzi wa ccm wewe
 
ccm inajenga shule . inajenga barabara, inajenga zahanati , inajenga vyuo, inapandisha posho zawaku, inaiba mali ya uma, inaminya democrasia , polisi wake wanaua, waislamu wa jk wanaua wenzao bila woga, ssm ipo itasaidia tu
 
haipeleki vifaa ,walimu , madaktari, maabara, mishara ya walimu, haichukulii hatua wauaji (waislamu na polisi inapaka rami badala ya kujenga , inapiga wapinzani .ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
 
Mkuu thanks kwa hizi link but kuna kitu kinanitayiza hapa as Bwana mdogo kanipa namba ambayo naona kafaulu tofauti na uwezo wake je kuna maujanja nayoweza kutumia ku-link namba na jina?

Ni ngumu mkuu,solution nenda shuleni kwake jitambulishe kisha waeleze wahusika watakuthibitishia kuwa namba ni yake au lah.
 
Naomba matokeo
s.1098/0149 na s1098/0163
S1098/0149
M
25
III
CIV-D HIST-C GEO-C KISW-C ENGL-C BIO-D B/MATH-F

S1098/0163
M
21
II
CIV-D HIST-D GEO-C KISW-C ENGL-C PHY-C CHEM-C BIO-C B/MATH-C

Hongera zao.
 
Back
Top Bottom