Matokeo ya interview utumishi wa umma - national identifications (nida)

Mla Mbivu

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
224
48
Wakuu kuna mwenye taarifa za interview ya utumishi ambayo tulifanyia uhasibu kurasini na wengine walifanya ifm tangu mwezi wa 3 kama sikosei.
Mimi nilifanya ya nafasi ya systems administrator, lakini mpaka leo naona kimya.
Kuna mwenye taarifa, pia walifanyiwa interview registration officers zaidi ya 300 je waliitwa??
 
Mmh mwezi wa tatu ni mbali sana,kawaida huwa wanatangaza kwenye magazeti,kama vipi hebu jaribu kuulizia pale utumishi
 
hapo kweli angalia na sehemu nyingine nao wangekuwa hata wanatuma sms kuwa umekosa uondoe hayo mawazo.
 
mwenyewe nilikuwamo, dont loose hope coz u never know. Lets wait and see wt happens at the end of the day.
 
Hayo ya NIDA (NATIONAL IDENTIFICATION) , YALISHATOKA TANGU MAY 2011 NB TAFUTA GAZETI LA UHURU/MWANANCHI/DAILY NEWS LA TARAHE 18- 20 2011 ! HUU MSHAHAT
RA WA TATU WATU WANAVUTA BRO
 
Hayo ya NIDA (NATIONAL IDENTIFICATION) , YALISHATOKA TANGU MAY 2011 NB TAFUTA GAZETI LA UHURU/MWANANCHI/DAILY NEWS LA TARAHE 18- 20 2011 ! HUU MSHAHAT
RA WA TATU WATU WANAVUTA BRO

Sidhani kama atapata magazeti ya hii tarehe!
 
Back
Top Bottom