Matokeo ya Form Two yametoka?

Matokeo ya Form Two yametoka?

ndiomaana siyaoni mtandaoni
Duara kubwa ni tarehe za jumla. Duara dogo ni tarehe ambazo lazima uwe umesha pata matokeo au taarifa yoyote kuhusu matokeo hayo.

TAIFA STARS ITAKUWA IMESHA AGA HUKO MOROCCO 😂😁
Screenshot_20260102-165610.png
 
kuingia tovuti ya necta ndio kaz kwangu haifunguki kabisa sijui wenzangu vp huko

Maanaatokeo yametoka
 
Sisi kama wazazi lazima presha ipande 🤣
Hujiamini kama ulizaa genius 😹😹

Kipindi niko form four uncle wangu akapiga simu anaulizia matokeo nikamuuliza kwani ana mtoto kamaliza form 4? 😹😹😹

Akamind nikabaki namshangaa NECTA nifanye mimi, matokeo ya miswaki yangu apewe yeye thubutuuu..!! 🤣😹😹
 
Watoto wengine ni viazi mkuu kichwani 🤣
Hapa Kuna toto la kike kubwa kubwa naangalia matokeo yake hapa amefeli 🤔
Kila siku asubuhi kuomba buku la kula shule 🤔.
Tusubirie wamtie mimba tu maana hakuna namna.

Ila nasikia wataendelea na masomo mama Samia amewaruhusu hata kama wamefeli
 
Hapana usimkatie tamaa inawezekana naye ubongo wake mzito au hapati ushirikiano mzuri na walimu wake..!!

Acha kumnenea mabaya, najua unaumia kama mzazi lakini usifike kumuombea atiwe mimba. Kama mzazi kuna vitu utakua umefeli. Hebu anza kumfatilia maendeleo yake na changamoto zake..!!
 
Sijamnenea mabaya mkuu.
Ila siyo mbaya yeye binafsi anapenda mambo ya urembo, ususi anasuka vizuri sana, ni mchoraji mzuri wa Heena, n.k
Tutamsaidia katika hayo, Elimu ya darasani kwake haipandi
 
Sijamnenea mabaya mkuu.
Ila siyo mbaya yeye binafsi anapenda mambo ya urembo, ususi anasuka vizuri sana, ni mchoraji mzuri wa Heena, n.k
Tutamsaidia katika hayo, Elimu ya darasani kwake haipandi
Muwezesheni katika hilo, halafu hivyo vitu sasa hivi ndio vina pesa..!!

Ajira zenyewe hakuna basi tafrani masters zinazunguka kitaa tu..!!
 
Muwezesheni katika hilo, halafu hivyo vitu sasa hivi ndio vina pesa..!!

Ajira zenyewe hakuna basi tafrani masters zinazunguka kitaa tu..!!
Yeah katika hili tutamuwezesha.
Ni jambo analipenda Sana na analiweza
 
Aisee mi matokeo yetu ya form iv yakitoka, sitakuwa humu ndani kwa takribani muda usiojulikana! Maana presha niliyonayo sio ya nchi hii!
 
Back
Top Bottom