Matokeo ya EED, PCB

Matokeo ya EED, PCB

wa log

Member
Joined
Jul 1, 2015
Posts
76
Reaction score
54
Nina ndugu yangu ana matokeo ya EED amesoma PCB Je anaeza pata chuo?
 
Nina ndugu yangu ana matokeo ya EED amesoma PCB Je anaeza pata chuo,?
Anaweza kupata chuo ila kwa level ya Diploma au Foundation programme.
Kwa level ya Bachelor hawez kupata kwasababu ana principal 2 ila hana point nne kwenye matokeo Yake.
Alipaswa kuwa na point nne kwenye masomo mawili ya tahasusi.
 
Wenzake wamelamba one nchi nzima yeye EED kapataje, au ana bifu na necta?


Atapata dip na cert
 
Back
Top Bottom