Mmanga2
Senior Member
- Oct 30, 2014
- 110
- 28
Katika masomo wanaheleza Siasa ni Sayansi ila sasa imebadilika na imekuwa siasa ni mchezo.Ukicheza vizuri utashinda na ukicheza hovyo ndo mwisho wa mchezo wako katika tasnia ya mchezo huu wa siasa.
Nimekuwa nikifatia update katika vyombo vya habari mbali mbali hususani katika sakata la CUF na Mwenyekitii wa Mh. Prof Lipumba.Siwezi kutabili mwisho wake nini maana siasa sasa sio sayansi tena ni mchezo. Kaka mkubwa mtatiro amekua akitoa update nyingi kupitia ukurasa wake Facebook na baahati nzuri/ au mbaya mzee wetu Prof yeye amekuwa akitulia tu sijasikia akijibu tuhuma kutoka upande mwingine.Ila imekuwa tofauti na upande mwingine wao wamekuwa wakideal sana Mzee huyu Prof, pale anapokuwa anapita kweny mikutano yake wao wanakuja kusawazisha, ni nguvu gani inayoogopwa???
Wadau wengi wamekuwa wakitoa maoni yao kuhusu kukaa na kuyazungumzaa ya kahahisha kichama zaidi,ni njia nzuri tu. Ila kunajambo linanishangaza hata himi kuhusu usalama wa ndani wa vyama hivi, hivi walishindwa nini kuyanzungumzaa ndani mpaka yatoke njee??Huu ni udhaifu mkubwa kushindwana kumalizana ndani na kutuletea hadhira kufahamu mambo yenu.
Msingi wngu mkuu ni matokeo ya pande hizi mbili kati ya CUF na Prof Lipumba. Kaka mtatiro alishajitabilia ushindi zaidi kwamba CUF watashinda katika majaribu hayo ila ajehelezea ni lini au ni kwanamna gani maana siku zinazidi kwenda hivyoo... Mimi nawatakia heri wote,atakaye shinda arudi mchezoni ili nihendelehe kujifunza vitu vingi kwao.
Mwisho ni hitimishe hivi "

- na endapo ikatokea CUF wakashinda basi itakuwa mwisho na kuporomoka kisiasa kwa Prof Lipumba itamuhitaji mdaa kidogo mpaka alejehe kwenye medalii hizi za siasa kama mtu mwenye nguvu na mwenye chama chenye nguvu
- na endapo ikatokea Prof Lipumba akashinda,basi huu nahisi utakuwa mvutano mkubwa wa ndani ya chama,kuporomoka kwa CUF,kufa kwa UKAWA na imani ya watu juu ya chama hicho kupungua.