Matokeo ya Chalize na kile tutakachojifunza!

Azizi Mussa

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2012
Posts
9,198
Reaction score
7,536
Kwa maoni yako kama CCM itatokea ikashinda kesho chalinze utajifuza nini na ikitokea CHADEMA wakishinda utakuwa umejifunza nini!? vile vile ikitokea CUF wakishinda utajifunza nini?

Kwa upande wangu CHADEMA wakishinda nitatafsiri kwamba CHADEMA itaingia kwenye uchaguzi mkuu 2015 ikiwa na morali kiasi na hivyo inaweza kufanya vizuri kiasi na wakishindwa ,CHADEMA itaingia 2015 ikiwa imekata tamaa na haiwezi kufika popote.

kama CUF watashinda itakuwa ni dalili kwamba CUF ikifufuliwa inaweza kufufuka.

CCM ikishinda, hii itakuwa inaashiria kwamba CCM itaingia uchaguzi 2015 ikiwa ni kama hakuna upinzani isipokuwa tu kama kutaibuka chama kipya na kikawa na muelekeo wa kueleweka.

Hii ni kwa sababu haitarajiwi kutokea uchaguzi mwingine mdogo tena kabla ya 2015.

Ni maoni tu lakini, naweza kukosolewa!
 
Mkuu mbona matokeo kama tayari vile na CCM imeshinda mkuu? Wananchi washapewa wali, tshirts, kofia za bure na elfu 10 na wameahidiwa trekta kila kijiji,
 
Chadema kimekwisha. Slaa sasa anahaha kuungana na vyama vya upinzani vingine kutangaza rasimu ya katibu ambayo tayari inaongelewa bungeni. Huoni maajabu hayo na kuishiwa mbinu?
 
Nikukute kibandani kwako baada ya matokeo
 
Kama mshua aliweza kushinda nchi nzima kwa magumashi sembuse mtoto kwenye kijimbo kama Chalinze?

In fact hakuna jipya!
 
Mkuu mbona matokeo kama tayari vile na CCM imeshinda mkuu? Wananchi washapewa wali, tshirts, kofia za bure na elfu 10 na wameahidiwa trekta kila kijiji,

Kwani chadema hawajui mcheke ulipo? viwanda vya kutengeneza t shirt havipo? kofia na khanga je?
buku 10 badala ya kurusha chopa hizo gharama wapeni wapiga kura.
Mtapiga keleleee mwisho mtazeeka watakuja vijana na mbinu mpya.
 
Chadema kimekwisha. Slaa sasa anahaha kuungana na vyama vya upinzani vingine kutangaza rasimu ya katibu ambayo tayari inaongelewa bungeni. Huoni maajabu hayo na kuishiwa mbinu?

Jamaa magumashi sana. UKAWA wajifanya wana umoja. chalinze kila mtu kivyake.
 
Chadema kimekwisha. Slaa sasa anahaha kuungana na vyama vya upinzani vingine kutangaza rasimu ya katibu ambayo tayari inaongelewa bungeni. Huoni maajabu hayo na kuishiwa mbinu?

Hivyo vyama vingine vya upinzani machadema yaliviita ccmB leo kiko wapi?
 
Mkuu mbona matokeo kama tayari vile na CCM imeshinda mkuu? Wananchi washapewa wali, tshirts, kofia za bure na elfu 10 na wameahidiwa trekta kila kijiji,

Na ameahidi kuwajengea hospitali ya majeruhi!
 
sawa mkuuu umeelewekaaaa ila elewa kua chama pinzani kushinda ndoto !!!!
 
Unajadili matokeo au unajadili mchakato wa kupiga kura?
 
AHADI za JK azijatimizwa sasa RIDZ1 anatoa ahadi kama kasuku
na aache biashara yake ya sembe kwani uongo?
faizafoxy ridhiwani kikwete ndio kiongozi wa wauza unga kwa sasa bongo na rafiki yake ADAM MALIMA
huo ndio ukweli na ushahidi upo?
waliongozana kuja mbeya kwenye msiba wa mwaikela aliyekuwa kiongozi wa wachimbaji madini wadogowadogo
na mwaikela alisha tajwa sana na vyombo vya usalama kuwa ni muhusika wa biashara hiyo ya sembe bisheni mimi nitawapa ushahidi
 
mjepo ridhiwani ametoa ahadi ya kujenga hospitali kubwa ya rufaa maana chalinze kuna ajari nyingi na tumbi ni mbali huo ndio ukweli
 
Hivyo vyama vingine vya upinzani machadema yaliviita ccmB leo kiko wapi?

Hapo ndiyo utajuwa kuwa magwanda wameishiwa na wanarudi CCM-b kuomba msaada au wanafik au vyote pamoja.
 
Hatujaishiwa na hatutegemei kuwa hivyo! bahati mbaya mtaji wenu tunaujua na hilo halituumizi vichwa. Vijana wetu kizazi cha mwinyi wanatukubari kuliko mfikiriavyo na ndiyo hofu yenu! 2015 mtajinyea kwenye vyupi na boxer zenu, sisi wanachanges hatuna papala wala hatuna haraka ila moto wetu wa petrol tutauwasha si zaidi ya miezi 10 ijayo! mtaungua kama mashudu ya pamba manina zenu! CCM 2015 hamuongozi tanganyika hii niijuayo! i will fight hooks&kooks making sure dat no one will come across my empire!
 
Back
Top Bottom