Matokeo wanayopata Yanga kwa sasa ni upepo tu

Achana na hii hesabu 5 zilizobaki kumalizia round ya kwanza
Yanga vs Biashara utd
Ruvu shooting vs Yanga
Mbeya city vs Yanga
Africa Lyon vs Yanga
Azam fc vs Yanga
Hapo katika points 15 mkijitaidi Sana mnapata 7
Mkuu zamwamwa zimebaki ngapi hapo?
 
Hao watacheza nafasi ya Nani pale Simba mkuu, utamtoa Wawa umueke yondan?
Makambo amtoe kagere? Kuwa serious kidogo mkuu
Mkuu inawezekana hakuna mchezaji wa Yanga anayeweza kupata namba Simba. Kwa uwezo binafsi inawezekana nyie mko juu ila linapokuja suala la kucheza kitimu na fighting spirit wachezaji wa Yanga wamewaacha hatua nyingi sana.

Bila shaka unaikumbuka Real Madrid ya kina Beckam,Figo,Ronaldo De Lima, Zidane na mastaa wengine kibao. Kulikuwa hakuna mchezaji wa Barcelona anayeza kumweka benchi mtu pale labda kwa mbali Gaucho. Ila maajabu ya soka hata La liga tu hawakuchukua.
 
Hao watacheza nafasi ya Nani pale Simba mkuu, utamtoa Wawa umueke yondan?
Makambo amtoe kagere? Kuwa serious kidogo mkuu
Sasa wawa anakitugani anachomzidi Kelvin? Makambo unamfananisha na striker gani Simba? Acha kujipofusha macho au unasikiliza sana mpira redioni mkuu,tembelea viwanjani
 
Hahahhaa....
Unakuta mtu anasikiliza mpira redioni halafu unaskia anatoa sauti ya ukali sana kuwa hiyo in faulo kabisa jamaa amechezewa, au anaunga mkono eti, Peeenalt....

Ushabiki ni raha sana.
Sasa wawa anakitugani anachomzidi Kelvin? Makambo unamfananisha na striker gani Simba? Acha kujipofusha macho au unasikiliza sana mpira redioni mkuu,tembelea viwanjani
 
Sasa wawa anakitugani anachomzidi Kelvin? Makambo unamfananisha na striker gani Simba? Acha kujipofusha macho au unasikiliza sana mpira redioni mkuu,tembelea viwanjani
Mkuu tv zote hizi Kuna mtu anasikiliza redioni? Makambo hajafika hata nusu ya uwezo wa kagere, yondan tatizo bangi nyingi Leo Yuko vizuri kesho anaharibu
 
Hivi huyu mwanzisha thread bado yupo, naomba mnisaidie kumuita huku

Au bado yupo Zambia anasheherekea kipigo cha 2-1
 
Back
Top Bottom