Matokeo wanayopata Yanga kwa sasa ni upepo tu

Kwa wenye kumbukumbu mtakumbuka kipindi cha Manji timu ilipokuwa inashinda kila mechi walikuwa wanasema wananua mechi. Ila sasa tajiri hayupo wanagwaya kusems tunanunua mechi maana wanajua tutahoji kiaje na mnatukejeli hatuna pesa. Sasa kutafuta pakutokea wanajificha kwenye kivuli cha upepo.

Eti Yanga inashinda kwa bahati na hapo hapo akikaa na masela wenzake kijiweni anawaambia bahati haiji mara mbili. Mbona Yanga kashinda zaidi ya mara mbili?! Utaitaje bahati?!

Anyway BAHATI ni nini?!
 
Kwa wenye kumbukumbu mtambua kipindi cha Manji timu ilipokuwa inashinda kila mechi walikuwa wanasema wananua mechi. Ila sasa tajiri hayupo wanagwaya kusems tunanunua mechi maana wanajua tutahoji kiaje na mnatukejeli hatuna pesa. Sasa kutafuta pakutokea wanajificha kwenye kivuli cha upepo.

Eti Yanga inashinda kwa bahati na hapo hapo akikaa na masela wenzake kijiweni anawaambia bahati haiji mara mbili. Mbona Yanga kashinda zaidi ya mara mbili?! Utaitaje bahati?!

Anyway BAHATI ni nini?!
Bahati ni Kama unavyoona Yanga timi mbovu lakini wanaambulia ushindi
 
labda niseme kitu muhimu kuhusu simba na mashabiki wake ni kuwa,
droo/sare/suluhu baina yake na lipuli imewa athiri sana kisaikolojia, imewaumiza mno, imewachanganya sana. tena hayakuwa mategemeo yao hata kidogo.
ila niwashauri kwa kuwa wao wame doda wasituombee mabaya wana yanga maana malengo yao na sisi yanafanana, kwamba ni kuchukua ubingwa. over!!
Mikimikiani,taabu sana
 
Wadau wengi wa soka wamekuwa kwakishangaa timu ya Yanga kupata matokeo mazuri ligi kuu huku bado haijafungwa mchezo wowote licha ya kukweli kwamba wanna kikiosi kibovu Sana
Kwenye mpira tunaita upepo mzuri huwa ni kipindi Cha mpito yaani Kila kitu unachofanya ni sahihi yaani hata msipofunga wapinzani watajifunga.
Naona mashabiki was Yanga wanampa sifa kibao kocha Mwinyi Zahera ila mtakuja kumkataa mbeleni huko hili BOOM likiisha
Kila mtu atashinda kwa uwezo wake sio upepo tena
View attachment 946088
Andaa sumu unywe.
 
Back
Top Bottom