Matokeo wanayopata Yanga kwa sasa ni upepo tu

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,876
7,366
Wadau wengi wa soka wamekuwa kwakishangaa timu ya Yanga kupata matokeo mazuri ligi kuu huku bado haijafungwa mchezo wowote licha ya kukweli kwamba wanna kikiosi kibovu Sana
Kwenye mpira tunaita upepo mzuri huwa ni kipindi Cha mpito yaani Kila kitu unachofanya ni sahihi yaani hata msipofunga wapinzani watajifunga.
Naona mashabiki was Yanga wanampa sifa kibao kocha Mwinyi Zahera ila mtakuja kumkataa mbeleni huko hili BOOM likiisha
Kila mtu atashinda kwa uwezo wake sio upepo tena
Yanga%2B99.jpeg
 
Leo mmekuja na upepo?, upepo unapoendelea kupita anza kutafuta maneno mengine maana hili nalo kufikia round ya 20 litapotea kama zilizotangulia
Kwasasa mko kwenye starehe huwezi kunielewa ngoja shida zianze
 
labda niseme kitu muhimu kuhusu simba na mashabiki wake ni kuwa,
droo/sare/suluhu baina yake na lipuli imewa athiri sana kisaikolojia, imewaumiza mno, imewachanganya sana. tena hayakuwa mategemeo yao hata kidogo.
ila niwashauri kwa kuwa wao wame doda wasituombee mabaya wana yanga maana malengo yao na sisi yanafanana, kwamba ni kuchukua ubingwa. over!!
 
Mkuu uko nje ya mada tafadhari jikite mahali husika
 
Wadau wengi wa soka wamekuwa kwakishangaa timu ya Yanga kupata matokeo mazuri ligi kuu huku bado haijafungwa mchezo wowote licha ya kukweli kwamba wanna kikiosi kibovu Sana
Kwenye mpira tunaita upepo mzuri huwa ni kipindi Cha mpito yaani Kila kitu unachofanya ni sahihi yaani hata msipofunga wapinzani watajifunga.
Naona mashabiki was Yanga wanampa sifa kibao kocha Mwinyi Zahera ila mtakuja kumkataa mbeleni huko hili BOOM likiisha
Kila mtu atashinda kwa uwezo wake sio upepo tena
View attachment 946088
Mkuu, hata Leicester City ya Uingereza ilipokuwa inawaburuza vigogo wa Ligi ya EPL mwaka ule, watu walicomment kama ulivyosema wewe. Ila mwisho wa siku wakaishia kushika viuno. Endelea kuota huenda ukapatia.
 
Back
Top Bottom