Matokeo SUA yatia fora, zaidi ya wanafunzi 150 wadisco

Hondat

Member
Joined
Sep 17, 2014
Posts
22
Reaction score
1
Habari yenu,kwa taarifa nilizozipata kutoka kwa mmoja wa wanafunzi anaesoma SUA,kasema kuwa matokeo ya mwaka huu yavunja rekodi,kwani kuna discontinue 150,prob:6993.
 
Kwani record ya awali ilikuwa disco, probation ni ngapi?
 
Utawala huu mbona kila kitu kina enda Mrama?
 
mbona wachache sana hao nakumbuka mwaka wetu pale chuo cha kitaifa wali disco 356.

noted!
 
Habari yenu,kwa taarifa nilizozipata kutoka kwa mmoja wa wanafunzi anaesoma SUA,kasema kuwa matokeo ya mwaka huu yavunja rekodi,kwani kuna discontinue 150,prob:6993.
Hiyo kawaidaa sanaa kk kwa tuliopita pale labda wa vyuo vinginee watastukaa
 
Lo! Kwa SUA disco 150? Mbona ni matokeo mazuri sana kwake.
 
mkuu umeangalia vizuri thread ni ya mwaka gani
Mkuu na wewe uwe unasoma quote zote jibu lako nilishalijibu mtu mapema quote namba nane.... Nadhani tupo sawa nilichemka na wewe umechemka....
 
Back
Top Bottom