matokeo makubwa sasa

Dah pamoja na kusoma kwangu kijijini kwenye 70's lakini madawati yalikuwepo,madaftari ya bure yalikuwepo hata vitabu vya kiada vilikuwepo.Sasa hii sijui ndio kusema tumezidi kuwa masikini au ndio matokeo makubwa sasa?Think! Think! Think! my fellow Tanzanian,2015 is next year
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…